Mke wangu alinifungia camera kwenye gari

Mke wangu alinifungia camera kwenye gari

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,840
Wanabodi,

Hapa nimeamka na stress, jana usiku nilikuwa na kikao kizito na mke wangu. Kanionyesha upuuzi wote ambao huwa nafanya kwenye gari, kubeba chepuko wangu katika nyakati tofauti.


Kumbe siku zote nnazobeba anaona lakini huwa nikifika anauliza ulikuwa wapi, natoa visingizio vya uongo. Ananiangaliiia basi anaondoka zake

Sasa jana nimemtafuna mchepuko wangu ndani ya gari, baada ya kumaliza nikakuta missed calls nyingi sana za mke wangu mana wakati napiga "kazi" niliweka simu silent na sikumpigia mpaka nilipofika home.

Nimefika akaniambia hongera zako, nikamwambia zanini akasema ingia Whatsapp nimekutumia video. Video zinaonyesha nikiwa namla mchepuko lakini sura zetu wakati wa kula mambo hazionekani. Ilionekana sura ya mchepuko mara moja tu wakati anatoka mbele kwenda siti ya nyuma kwaajili ya kazi.

Hapa kanuna sana, japo nimemwambia sio mimi. Nimeamka asubuhi nimekagua gari sioni sehem ambapo imefungwa camera, kama kuna mtu anafahamu ofisi ambayo wana kifaa cha kudetect camera naomba unifahamishe niondoe hiyo camera kwenye gari.

Ngoja nimtoe out nikamuombe msamaha huko, tutulie na ndoa zetu wakuu
 
Chai hii itakuwa funzo kwa watu wote kujua umuhimu wa sukari katika chai
 
Dah... hebu tupia hiyo video ili tukuamini...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kama umeoa mwanamke wa vyombo vya kiuchunguzi aliyesoma anakuwekea vzr tu.


kuna mwanamke alikuwa ametega kamera chumba cha mmewe na mmewe nae njagu mbombezi kwa sasa katibu mkuu sehemu nae alikiwa Na vifaa vya kudetect kama anarekodiwa kwa video au audio.


kifaa aliletewa na gvt ya nkapa toka israel kwa sh 1b.
 
Heading "Mke wangu Alinifungia Camera" na unatafuta mtu wakukukagulia gari yako kama ina Camera kimoja kipe nafasi.
 
Kama unalijua hilo la kutulia kwenye ndoa si utulie sasa. Huyo mke ndo ulipangaga kumuoa au ilitokea tu bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom