Mke wangu alinifungia camera kwenye gari

Mke wangu alinifungia camera kwenye gari

Wanabodi,

Hapa nimeamka na stress, jana usiku nilikuwa na kikao kizito na mke wangu. Kanionyesha upuuzi wote ambao huwa nafanya kwenye gari, kubeba chepuko wangu katika nyakati tofauti.


Kumbe siku zote nnazobeba anaona lakini huwa nikifika anauliza ulikuwa wapi, natoa visingizio vya uongo. Ananiangaliiia basi anaondoka zake

Sasa jana nimemtafuna mchepuko wangu ndani ya gari, baada ya kumaliza nikakuta missed calls nyingi sana za mke wangu mana wakati napiga "kazi" niliweka simu silent na sikumpigia mpaka nilipofika home.

Nimefika akaniambia hongera zako, nikamwambia zanini akasema ingia Whatsapp nimekutumia video. Video zinaonyesha nikiwa namla mchepuko lakini sura zetu wakati wa kula mambo hazionekani. Ilionekana sura ya mchepuko mara moja tu wakati anatoka mbele kwenda siti ya nyuma kwaajili ya kazi.

Hapa kanuna sana, japo nimemwambia sio mimi. Nimeamka asubuhi nimekagua gari sioni sehem ambapo imefungwa camera, kama kuna mtu anafahamu ofisi ambayo wana kifaa cha kudetect camera naomba unifahamishe niondoe hiyo camera kwenye gari.

Ngoja nimtoe out nikamuombe msamaha huko, tutulie na ndoa zetu wakuu
Sio poa kufanya mapenz kwenye gari
 
Ningekuwa Mimi naanza kugegeda Kila siku ndani ya gari.
Atume hizo video mpaka aamue kuitoa hiyo kamera.

Kumchunguza mwenzio Ni kujitafutia shida tu.
Utakutana na usiyoweza kuyahimili.
 
Back
Top Bottom