Mke wangu alinifungia camera kwenye gari

Wanabodi,

Hapa nimeamka na stress, jana usiku nilikuwa na kikao kizito na mke wangu. Kanionyesha upuuzi wote ambao huwa nafanya kwenye gari, kubeba chepuko wangu katika nyakati tofauti.

Kumbe siku zote nnazobeba anaona lakini huwa nikifika anauliza ulikuwa wapi, natoa visingizio vya uongo. Ananiangaliiia basi anaondoka zake

Sasa jana nimemtafuna mchepuko wangu ndani ya gari, baada ya kumaliza nikakuta missed calls nyingi sana za mke wangu mana wakati napiga "kazi" niliweka simu silent na sikumpigia mpaka nilipofika home.

Nimefika akaniambia hongera zako, nikamwambia zanini akasema ingia Whatsapp nimekutumia video. Video zinaonyesha nikiwa namla mchepuko lakini sura zetu wakati wa kula mambo hazionekani. Ilionekana sura ya mchepuko mara moja tu wakati anatoka mbele kwenda siti ya nyuma kwaajili ya kazi.

Hapa kanuna sana, japo nimemwambia sio mimi. Nimeamka asubuhi nimekagua gari sioni sehem ambapo imefungwa camera, kama kuna mtu anafahamu ofisi ambayo wana kifaa cha kudetect camera naomba unifahamishe niondoe hiyo camera kwenye gari.

Ngoja nimtoe out nikamuombe msamaha huko, tutulie na ndoa zetu wakuu
Story ya kutungwa. Ingekuwa tukio la kweli usongejianika mwenyewe uchafu wako namna hii. Na ukizingatia mke wako naye mjuvi wa teknolojia, hata humu JF ulimokiri kufanya uchafu huo (japo kwake ulikana) huenda yumo na anaona kila kitu. Otherwise, you must be a horrible idiot......
 
Download camera director app google play
 
Maneno matupu ya nini? Weka video tuanzie hapo
 
Tracking device kwenye gari (unaweza kujua gari ilipo muda wowote kupitia simu yako ya mkononi) na ina MIC vyote vinavyozungumza garini utavisikia gharama ni 120 USD+installation (paid once)
 
Ndio shida ya magari ya kupewa.hilo gari sio lako umepewa na wewe una linajisi.
 
Kwa staili hii bora kuolewa na mti...kama waoaji wenyewe ndo nyinyi na vifua vya plastic kama Aggrey...kila kitu cha ndani wakileta jf. Tukusaidieje asa?
 
Uzi bila supporting evidence haunogi kabisa hebu weka video aliyokutumia mkeo kwanza [emoji41]
 
Wanabodi,

Hapa nimeamka na stress, jana usiku nilikuwa na kikao kizito na mke wangu. Kanionyesha upuuzi wote ambao huwa nafanya kwenye gari, kubeba chepuko wangu katika nyakati tofauti.

Kumbe siku zote nnazobeba anaona lakini huwa nikifika anauliza ulikuwa wapi, natoa visingizio vya uongo. Ananiangaliiia basi anaondoka zake

Sasa jana nimemtafuna mchepuko wangu ndani ya gari, baada ya kumaliza nikakuta missed calls nyingi sana za mke wangu mana wakati napiga "kazi" niliweka simu silent na sikumpigia mpaka nilipofika home.

Nimefika akaniambia hongera zako, nikamwambia zanini akasema ingia Whatsapp nimekutumia video. Video zinaonyesha nikiwa namla mchepuko lakini sura zetu wakati wa kula mambo hazionekani. Ilionekana sura ya mchepuko mara moja tu wakati anatoka mbele kwenda siti ya nyuma kwaajili ya kazi.

Hapa kanuna sana, japo nimemwambia sio mimi. Nimeamka asubuhi nimekagua gari sioni sehem ambapo imefungwa camera, kama kuna mtu anafahamu ofisi ambayo wana kifaa cha kudetect camera naomba unifahamishe niondoe hiyo camera kwenye gari.

Ngoja nimtoe out nikamuombe msamaha huko, tutulie na ndoa zetu wakuu
Wakati wa usiku zima taa zote nenda sehemu yenye giza, then washa camera ya simu yako na angalia kama vile unapiga picha sehemu zote ambazo unahisi zinaweza kuwa na camera ukiona red dot ujue hyo ni camera.

Science on it. Macho yetu ni less sensitive to infrared or small wavelength light kwa hyo ni ngumu ku detect camera kwa macho lakini Camera ya simu iko sensitive na light of small wavelength so ni rahisi kuiona camera ilikojificha
Refer to wave mechanics and light spectrum wavelength and Planks formula
E=hβ , where β is wavelength and spectrum goes like ROYGBIV (red, orange, yellow....)
Hata ukiingia hotelini zima taa zote washa camera ya simu chunguza sehemu zote ukiona red dot ujue ni camera[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa staili hii bora kuolewa na mti...kama waoaji wenyewe ndo nyinyi na vifua vya plastic kama Aggrey...kila kitu cha ndani wakileta jf. Tukusaidieje asa?
Agrey huyu huyu wa tabora mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakati wa usiku zima taa zote nenda sehemu yenye giza, then washa camera ya simu yako na angalia kama vile unapiga picha sehemu zote ambazo unahisi zinaweza kuwa na camera ukiona red dot ujue hyo ni camera.

Science on it. Macho yetu ni less sensitive to infrared or small wavelength light kwa hyo ni ngumu ku detect camera kwa macho lakini Camera ya simu iko sensitive na light of small wavelength so ni rahisi kuiona camera ilikojificha
Refer to wave mechanics and light spectrum wavelength and Planks formula
E=hβ , where β is wavelength and spectrum goes like ROYGBIV (red, orange, yellow....)
Hata ukiingia hotelini zima taa zote washa camera ya simu chunguza sehemu zote ukiona red dot ujue ni camera[emoji3][emoji3][emoji3]
Umeniwahi mkuu,nlitaka niseme hivyo hivyo aiseeee
 
Back
Top Bottom