Huyu Zuma anawa manage vip wake zake ,na ndio maana wanatafuta mapozeo nje
kwa nini kaoa wake wengi hivyo??
...Tuko pamoja Nyani...Mama yuko vizuri sana kwa kweli anastahili kupewa mapigo ya ukweli sidhani kama mzee Zuma huo mzigo anaweza kuupa starehe inayostahili..Huyo maza wala sioni kosa lake. Kama Zuma anamega sana hadi kubaka (kumbuka alikuwa na kesi ya kubaka na kwenye trial alisema eti alipomaliza kummega huyo demu aliyedai kabakwa Zuma akaosha mboli na maji ili asipate virusi..SMH). Kwanza huyo maza hata mimi ningemmega...ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona...shiiit...mcheki alivyo....
Huwezi kuwa na wake wengi hivyo halafu
wote wawe waaminifu kwako.......
Ashalafalaulllaaalalala..
Eeh bwana kumbe SA kuna vidume kuliko Zuma..
Da afu kameacha na muhuri kabisa....RIP Mlinzi
Sijui Mkulu alilia au alichukulia poa...
Muosha ukioshwa ni balaa atii......
....Mswati naye mnh, sijui! ...'amewekeza' si mchezo kwa hao wenye vikofia vyenye ufito mweupe..
heheheheh hapo kwenye red nimecheka sana ................Huyo maza wala sioni kosa lake. Kama Zuma anamega sana hadi kubaka (kumbuka alikuwa na kesi ya kubaka na kwenye trial alisema eti alipomaliza kummega huyo demu aliyedai kabakwa Zuma akaosha mboli na maji ili asipate virusi..SMH). Kwanza huyo maza hata mimi ningemmega...ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona...shiiit...mcheki alivyo....
Mhh, makubwa haya!
Halafu huyo mlinzi nna mashaka kama alijiua, maana infidelity mara nyingi huambatana na mauaji.
Thats is my fear too.Mi naona huyo mlinzi hakujiua, Kamalizwa na state security!!!!!, Hiyo case ngumu na inadhalilisha taifa
Afadhali Zuma anoa waziwazi na nchi yote inajua kuliko "wengine" wanaozuga na mke mmoja hadharani kumbe underground wake kibao!!Kifungo cha maisha kitoke wapi wakati mlinzi kajiua mwenyewe baada ya siri kufichuka?
Ila Zuma naye kazidi jamani, acha watu wamtafunie !!
Wala hajaliaibisha taifa,anadumisha mila za kiafrika huyo!Shule sio lazima iwe formal,yeye ana PhD ya INFORMAL EDUCATION!!!sijawai kuona rais anayeliaibisha taifa, na anayewaibisha waafrica kwa ujumla kama huyu...ndo maana watu wengine wanasema ''SHULE NI MUHIMU'' kwa kila kitu...
hao wake ni wengi lazima watu wamkanyagie, vipi HAJAMFUNGA HUYO JAMAA KIFUNGO CHA MAISHA YEYE NA FAMILIA YAKE?, AMESHINDWA KUPATA SOMO KWA SWAHIBA