Mke wa Rais Zuma Ala Uroda na Mlinzi Wake

Zuma family denies leaking info on First Lady


Claims that one of President Jacob Zuma's wives had an affair with a bodyguard did not come from his family, said a statement apparently issued by a family spokesman on Thursday.

Current Font Size:
MaNtuli_Zuma_390117b.jpg



"The president's family is united in distancing itself from these malicious reports about the first lady Mama (Nompumelelo) MaNtuli," said "family spokesman" Khulubuse Zuma in the statement.
"No member of the family could have been the source of this misinformation."
Sapa was unable to determine the veracity of the statement beyond any doubt.
The statement was issued after Ilanga newspaper carried a story based on unconfirmed allegations contained in a letter sent to the newspaper.
According to the newspaper, the letter said MaNtuli, as she is known, had an affair with her bodyguard, Phinda Thomo from Dobsonville, Soweto, and that the paternity of her unborn child was being disputed.
The anonymous authors claimed Thomo took his own life when the affair was discovered.
In Friday's statement the Zuma family described the reports as a continuation of the attack on the person of the President and his political career.
"It is particularly shameful and alarming that the president's political enemies have now taken to masquerading as members of his family who spread malicious innuendo about him and his family."
The statement was faxed to Sapa offices in Johannesburg and had Khulubuse's name and his cell phone number on it. Attempts to get hold of him on his phone for more information failed.
A text message was sent to him, but he did not respond.
Inkosi Bheki Zuma, a close relative of the president, said he was not aware that the statement had been sent.
He confirmed, however, that the cell phone number on the statement was that of Khulubuse.

Zuma family denies leaking info on First Lady - Times LIVE
 
sijawai kuona rais anayeliaibisha taifa, na anayewaibisha waafrica kwa ujumla kama huyu...ndo maana watu wengine wanasema ''SHULE NI MUHIMU'' kwa kila kitu...
 
Sasa mtu asieweza kukeep his pants up and zip up ati ndio anapewa blank cheque ya 'URAHIS' lol .Miafrika bana, inapanda chelewa halafu inategemea kuvuna madafu.
 
Huyu Zuma anawa manage vip wake zake ,na ndio maana wanatafuta mapozeo nje

kwa nini kaoa wake wengi hivyo??
 
Huyo maza wala sioni kosa lake. Kama Zuma anamega sana hadi kubaka (kumbuka alikuwa na kesi ya kubaka na kwenye trial alisema eti alipomaliza kummega huyo demu aliyedai kabakwa Zuma akaosha mboli na maji ili asipate virusi..SMH). Kwanza huyo maza hata mimi ningemmega...ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona...shiiit...mcheki alivyo....
...Tuko pamoja Nyani...Mama yuko vizuri sana kwa kweli anastahili kupewa mapigo ya ukweli sidhani kama mzee Zuma huo mzigo anaweza kuupa starehe inayostahili..
 
Ashalafalaulllaaalalala..
Eeh bwana kumbe SA kuna vidume kuliko Zuma..
Da afu kameacha na muhuri kabisa....RIP Mlinzi
Sijui Mkulu alilia au alichukulia poa...
Muosha ukioshwa ni balaa atii......
 
Ashalafalaulllaaalalala..
Eeh bwana kumbe SA kuna vidume kuliko Zuma..
Da afu kameacha na muhuri kabisa....RIP Mlinzi
Sijui Mkulu alilia au alichukulia poa...
Muosha ukioshwa ni balaa atii......

Ndugu yangu, hata muosha maiti naye ipo siku naye huoshwa ati..lol
 
Huyo maza wala sioni kosa lake. Kama Zuma anamega sana hadi kubaka (kumbuka alikuwa na kesi ya kubaka na kwenye trial alisema eti alipomaliza kummega huyo demu aliyedai kabakwa Zuma akaosha mboli na maji ili asipate virusi..SMH). Kwanza huyo maza hata mimi ningemmega...ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona...shiiit...mcheki alivyo....
heheheheh hapo kwenye red nimecheka sana ................
 
Mhh, makubwa haya!

Halafu huyo mlinzi nna mashaka kama alijiua, maana infidelity mara nyingi huambatana na mauaji.

Mi naona huyo mlinzi hakujiua, Kamalizwa na state security!!!!!, Hiyo case ngumu na inadhalilisha taifa
 
Duh mwanamke amenona na anastaili mapigo ya uhakika siyo kumshikashika unazungusha mbili tayari umemaliza huyu ni wa kumkamata kwa zaidi ya nusu saa ndo anaisikilizia fresh ati!
 
Si ajabu ktk 21 wengne kasaidiwa!! Atarajie wengne kbao..awe na fahari ya kuwa na mji mkubwa!!
 
Kifungo cha maisha kitoke wapi wakati mlinzi kajiua mwenyewe baada ya siri kufichuka?

Ila Zuma naye kazidi jamani, acha watu wamtafunie !!
Afadhali Zuma anoa waziwazi na nchi yote inajua kuliko "wengine" wanaozuga na mke mmoja hadharani kumbe underground wake kibao!!
 
sijawai kuona rais anayeliaibisha taifa, na anayewaibisha waafrica kwa ujumla kama huyu...ndo maana watu wengine wanasema ''SHULE NI MUHIMU'' kwa kila kitu...
Wala hajaliaibisha taifa,anadumisha mila za kiafrika huyo!Shule sio lazima iwe formal,yeye ana PhD ya INFORMAL EDUCATION!!!
 
hao wake ni wengi lazima watu wamkanyagie, vipi HAJAMFUNGA HUYO JAMAA KIFUNGO CHA MAISHA YEYE NA FAMILIA YAKE?, AMESHINDWA KUPATA SOMO KWA SWAHIBA

We kituko soma kabla huja reply huyo jamaa umeambiwa alijiua baada ya siri kufichuka, sasa unataka afunge maiti?

Thanks
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom