Mke wa Rais Zuma Ala Uroda na Mlinzi Wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa Rais Zuma Ala Uroda na Mlinzi Wake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Jun 4, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mke wa Rais Zuma Ala Uroda na Mlinzi Wake
  [​IMG]
  Mke wa rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli Friday, June 04, 2010 2:40 PM
  Familia ya mke wa pili wa rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma imelazimika kumlipa Zuma fidia ya mbuzi mmoja mweupe baada ya kugundulika kuwa mke huyo wa rais Zuma aliisaliti ndoa yake na kula uroda na mlinzi wake. Utata upo kwenye ujauzito alio nao hivi sasa mke huyo wa rais. Imegundulika kuwa mke wa pili wa rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, Nompumelelo Ntuli alifukuzwa toka nyumbani kwa Zuma siku chache kabla ya krismasi baada ya kugundulika alimsaliti Zuma na kutembea nje ya ndoa.

  Ntuli alimpa uroda mlinzi wake, Phinda Thomo mkazi wa Dobsonville, Soweto. Mlinzi huyo alijiua mwenyewe baada ya siri kufichuka kuwa ametembea na mke wa rais.

  Ntuli ambaye hivi sasa yuko pamoja na Zuma katika safari ya kiserikali nchini India, ana mimba ya mtoto anayetarajiwa kuwa mtoto wa 21 wa Zuma. Hata hivyo maswali mengi yamezuka kuhusiana na ukweli wa baba wa mtoto huyo aliye tumboni mwake.

  Taarifa zinasema kuwa Ntuli mwenye umri wa miaka 35 aliamua kufanya hivyo baada ya kukasirishwa na hatua ya Zuma kutangaza kuoa mke wa tatu.

  Taarifa zaidi zinasema kwamba Ntuli alimtukana mke wa tatu wa Zuma Tobeka Madiba na pia alitishia kutohudhuria harusi yake iliyofanyika mwezi januari mwaka huu, hata hivyo alibadilisha uamuzi wake na kuhudhuria harusi hiyo lakini alifukuzwa na kurudishwa kwao wakati wa sherehe za kitamaduni za harusi hiyo.

  Ntuli alisindikizwa na wazee wa kijadi hadi kwenye nyumba ya familia yake ambapo alikabidhiwa kwa wazazi wake.

  Ntuli aliambiwa kuwa kitendo chake cha kuisaliti ndoa yake kimeikasirisha familia ya Zuma na mizimu ya mababu.

  Ili kuweka mambo sawa mwezi aprili mwaka huu, familia ya Ntuli ilienda kwa mzee Zuma na kumlipa fidia ya mbuzi mmoja mweupe ambaye alichinjwa siku hiyo hiyo.

  Habari za Ntuli kumsaliti Zuma zimeigawanya Afrika Kusini ambapo watu wengi wanampongeza Ntuli wakisema kuwa kama Zuma anazisaliti ndoa zake kwanini wake zake nao wasimsaliti.

  Mmoja wa watu waliopiga simu redioni kujadili suala hilo alisema kuwa Zuma ambaye hivi sasa ana umri wa miaka 68 hayawezi tena mambo ndio maana mke wake ametembea nje.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  hao wake ni wengi lazima watu wamkanyagie, vipi HAJAMFUNGA HUYO JAMAA KIFUNGO CHA MAISHA YEYE NA FAMILIA YAKE?, AMESHINDWA KUPATA SOMO KWA SWAHIBA
   
 3. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Kifungo cha maisha kitoke wapi wakati mlinzi kajiua mwenyewe baada ya siri kufichuka?

  Ila Zuma naye kazidi jamani, acha watu wamtafunie !!
   
 4. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kusema wakati uleeeee ametangaza anaoa. Tukubali tukatae ukifika umri nguvu hamna tena jamani, na wanawake wenyewe wadogo mwisho wanakudharau mzee mzima. Huyo tu imejulikana lakini anamegewa kila siku utakuta....
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Jun 4, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Huyo maza wala sioni kosa lake. Kama Zuma anamega sana hadi kubaka (kumbuka alikuwa na kesi ya kubaka na kwenye trial alisema eti alipomaliza kummega huyo demu aliyedai kabakwa Zuma akaosha mboli na maji ili asipate virusi..SMH). Kwanza huyo maza hata mimi ningemmega...ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona...shiiit...mcheki alivyo....
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Huwezi kuwa na wake wengi hivyo halafu
  wote wawe waaminifu kwako.......
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  JACOB ZUMA's Names & decodes

  J u s t
  A n o t h e r
  C r e a t o r
  Of

  Babies

  and

  Z e r o
  U nderstanding of
  M a r r i a g e and
  A i d s
   
 8. M

  Moitalel Member

  #8
  Jun 4, 2010
  Joined: May 8, 2010
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What is life? Huyu jamaa varieties ndo vinampatia raha. Let him enjoy his life. Ndiyo wasouth africa wanapenda. That is why they brought him into power!!! Ili awaonyeshe njia. After all hiyo ndiyo asili ya mwafrica!!! Oa unavyoweza as far as unaweza kuwatunza "things fall apart"
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mhh, makubwa haya!

  Halafu huyo mlinzi nna mashaka kama alijiua, maana infidelity mara nyingi huambatana na mauaji.
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ....Mswati naye mnh, sijui! ...'amewekeza' si mchezo kwa hao wenye vikofia vyenye ufito mweupe..


  [​IMG]
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nimeipenda sana hii, hahaaaa watu kwa kutumia madaraka hawajambo!
   
 12. R

  Ramos JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni kweli BOSS. Hata hivyo uaminifu unaweza kukosekana hata kama mke yupo mmoja...


  (Mtenda akitendewa.....)
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  What else could Zuma expect? Yeye si dume la mbengu!!!
   
 14. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ukijua mumeo ni kiwembe,heshima nayo inapungua..mie hata simlaumu huyo dada...
   
 15. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,442
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Pia huwezi kuwa na wake wengi hivyo halafu ukaweza kuwakata kiu kulingana na mahitaji yao lazima wasaidizi wawepo tu tusijidanganye.
   
 16. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #16
  Jun 4, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa mtindo huu Ukimwi hautaisha maana inawezekana ametembea na watu wengine zaidi ya huyo mlizi.
   
 17. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,442
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Imekaa vizuri,nimeipenda.
   
 18. n

  nndondo JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  very gender partisan, yaani huyu mama ndio ataleta ukimwi how about Zuma aliyebaka mwenye ukimwi? kama hana ajabu sema hao wanawake wana roho ngumu sana kwao mali mbele kuliko uhai maana mtu uliyeyajua yote hayo bado unaende kuvua nguo? kweli wanawake majasiri
   
 19. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Second wife of Jacob Zuma 'had affair with bodyguard'

  South Africa's president Jacob Zuma was facing fresh speculation over his private life last night after reports that his second wife had an affair with her bodyguard.  Mike Pflanz in Nairobi
  Published: 10:00PM BST 04 Jun 2010


  [​IMG] South African President Jacob Zuma (L) takes part in a dance during his traditional wedding to Tobeka Madiba (R), his fifth wife, at the village of Nkandla in northern KwaZulu-Natal Photo: REUTERS


  [​IMG]Barack Obama and first lady Michelle Obama, South African president Jacob Zuma and his wife Nompumelelo Ntuli. Image: Jewel Samad AFP

  ==================================================================================

  [​IMG]  Indoda Emadodeni Sibili With His Well Fed Women!

  Nompumelelo Ntuli Zuma is said to be pregnant with Mr Zuma's 21st child, but the allegations have raised questions over the baby's paternity.

  A letter from "concerned family members" of Mr Zuma, claiming that one of his three current wives had cheated on him with Phinda Thomo, one of her bodyguards, was sent to the Zulu-language newspaper Ilanga.
  Mr Thomo is understood to have since committed suicide, although a South African police spokesman refused to comment on the claim.

  Mr Zuma, who returns to South Africa on Saturday after a state visit to India where he was accompanied by Mrs Ntuli Zuma, is said to be "furious" over the allegations.
  Sources close to his office said the claims were false and designed to embarrass him ahead of the launch of the World Cup on Friday.

  "The reports appear to be part of an ongoing and malicious campaign to undermine the right of the President and his family to privacy and dignity," said a statement from the Presidency.
  Mr Zuma, 68, has been married five times.

  Earlier this year he acknowledged that he had fathered a child with the daughter of Irvin Khoza, his close friend and the chairman of South Africa's World Cup organising committee.

  During a visit to London in February, during which he met The Queen, he lashed out at British newspaper reports which branded him a "sex-obsessed bigot", demanding that "my culture should be respected".

  Second wife of Jacob Zuma ’had affair with bodyguard’ - Telegraph

  </H1>
   
 20. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Zuma wants to meet paper over MaNtuli affair claims

  Alex Eliseev | 6 Hours Ago


  The newspaper that first published allegations of infidelity inside Jacob Zuma's family on Friday said the president has called them from India to request a meeting.

  Durban-based Ilanga newspaper says it stands by its story, which claimed Zuma's second wife Nompumelelo Ntuli cheated on him with a bodyguard.

  The Presidency says it will not dignify the gossip with a response, while the ANC and its alliance partners are also saying they will not comment on the family's private matters.

  Content editor of the Zulu-language newspaper Thobile Nqumalo said Zuma, or at least someone from his office, called them on Thursday to request a meeting.

  "There has been a response from the president himself from India," the editor said.

  She said she was not at the office and is waiting for further word from the president's representatives about when, of if, the meeting will take place.

  Nqumalo said after receiving the anonymous letter carrying the allegations the newspaper spoke to its own sources to verify the information.

  The story made headlines on Friday, with various new allegations about MaNtuli's troubles within the family.

  But the Presidency, the ANC and its alliance partners are all declining to speak about the allegations, which include a claim the bodyguard killed himself.

  Zuma is due to return from a state visit to India on Saturday.

  We've got more, says Ilanga
  Alex Eliseev | 5 Hours Ago


  President Jacob Zuma says allegations of his wife cheating on him are nothing but gossip - but the newspaper that started it all is promising more revelations.

  Durban-based Ilanga newspaper says it stands by its story - which claimed Zuma's second wife was unfaithful and could be carrying her bodyguard's child.

  The Presidency says Zuma will continue to focus on his state visit to India.

  Zuma's office has issued a statement slamming the reports are a malicious invasion of his privacy.

  The ANC and its alliances have declined to comment, saying it is a private family matter.

  Ilanga says it did not only rely on an anonymous letter it received earlier this week. Content Editor Thobile Nqumalo says the newspaper verified the claims in the letter through its own sources.
  Nqumalo says they are investigating more leads.

  "We believe there's more [information] coming. We'll be out there hunting. It's not our duty to protect them if the information seems to be tangible."

  Editor Eric Ndiyane also says there is still more to come.

  Nqumalo also says Zuma, or someone from his office, contacted the newspaper and requested to meet its editors. However, a meeting has not yet been scheduled.

  Zuma is due to return to South Africa on Saturday.


  http://www.eyewitnessnews.co.za/articleprog.aspx?id=41086
  [​IMG]
  India's President Pratibha Patil (Right) shakes hands with President Jacob Zuma's wife Nompumelelo Ntuli Zuma as Indian Prime Minister Manmohan Singh (Left) and Zuma (2nd Left) talk during the ceremonial reception at the presidential palace in New Delhi
  Photograph by: B MATHUR
  Credit: REUTERS
  [​IMG]
  South Africa's President Jacob Zuma (L) and his wife Nompumelelo Ntuli Zuma place a wreath at the Mahatma Gandhi memorial at Rajghat in New Delhi. Zuma is on a three-day state visit to India.
  Photograph by: STRINGER/INDIA
  Credit: REUTERS
   
Loading...