Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Ehh, mwenzenu sielewi kitu labda sababu sipo Dar es Salaam. Haya mambo ya kukaa sana Sikonge yana madhara yake unapitwa na wakati. Sasa Mbowe alisema kukaa nyuma ya Fisadi ndiyo itakuwaje tena? HAlafu mnasema anasubiri kwenda LEBA sasa ina maana anategemea kujifungua? Si wengine wanaandika kuwa mapenzi yamefifia? Au ina maana historia inajirudia tuje tusikie kuwa Muungwana nayeye kapata Mramba wake? Pia hii ya mpwaye Rostam Azziz ni kuwa Muungwana Kaowa au kimada tu?unakumbuka na Regina Lowasa nae alivyokuwa anafunika? sasa hivi chali... maskini sijui mama wa watu kapotelea wapi. kumbuka msemo wa mbowe.."nyuma ya mwanaume fisadi.........."
Mie najua kuwa Mama wa Kwanza ni mke wa kwanza tu. Ndiyo maana Monica Lewinski hatambuliki rasmi kama Bi Clinton. Mie nilisoma kuwa Kikwete anaikacha ndege yake na Mkewe anatesa nayo. Hivi hii ikoje? Tanzania nchi yangu kweli poa sana. Ni nchi kama nchi nyingine zilizo kwenye mwelekeo wa kuendelea ila zinasubiri MUSA wake aje azitoe Misri na kuzipeleka kwenda KULIPULIWA NA MABOMU na kuangukia na Rocket za Waarabu.