MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,012
- 2,180
Tunajiuliza na kushangaa kuona kwamba mke wa Rais sasa naye anafanya ziara nchi nzima bila mumewe.
Katiba yetu haimtambui mke wa Rais kama ilivyo kwa US. Inakuwaje huyu mama sasa anahangaika kuliko Makamu wa Rais? Anaweza akasikika kama atakuwa akiandamana na mumewe.
JK yabidi amu-kontroo mukewe bwana sisi hatukumchagua.