Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 3,693
- 6,619
Sawa ukiachana na popo Kanyea mbingu jiandae kwa style ingine yakubeba tofali🙄Wakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much.
Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali.
Sasa akija kufanya malipo mara nyingi anaweka hako kawimbo halafu kama anarembua hivi na vidimpoz vyake😉