Duh, wanawake wote hawa TZ? kwa hiyo alienda kutoa mahari, mshenga alikuwa nani?
Isije ikawa ndiye anamshauri tujiunge OIC??
Mke wake wa pili ni kweli ana asili ya kiarabu na ndio huyo aliyemzaliwa watoto wale mapacha wa kiume. ni mtu wa unguja na hana undugu na Rostam. alimuoa kabla hajawa raisi na wakati akiapishwa uraisi watoto walikua wanakimbia tayari na pengine umri wao wao wakati huo ulikua zaidi ya miaka miwili. hafanyi siri kuwa ni mke wake na mke mkubwa na ndugu na marafiki wa jk wote wanamjua. hivyo nadhani hii haina implication na jinsi atakavyo endesha nchi au kulinda wanashutumiwa na ufisadi.
Waheshima, ndugu wana jukwaa wa jamiiforums naomba msaada kwenu. "Kuna taarifa zimezagaa kuwa JK ana mke wa pili aliyemuao wakati wa kampeni 2005. isitoshe mke huyo ni Muajemi (inarahisishwa kuwa ni Mwarabu) kwani ni dadaye Rostam Aziz."
Pia inadaiwa ndio maana JK hana ubavu wa kumueleza lolote RA pamoja na tuhuma zote zinazomuhusu ambazo ni kubwa kuliko za Yona na Mramba.
Narudia tena naombeni msaada wa kueleweshwa kuhusu hili.
Kwanza una post 13 umeona hapa sehemu ya kuuliza vitu vya ajabu ajabu mfate mwenyewe kamuulize
I thank of of you who responded positively as I always appreciate all who accept others work/opion/question etc. May GOD bless you all
ahsante kwa hii taarifa. Kama kweli ana mke wa pili basi anamficha/anafichwa/anajificha sana. Sikumbuki kama alienda nae kupima hiv pale mnanzi moja wakati wa kuzindua ile kampeni ya 'tanzania bila ukimwi inawezekana'
As long as mke wa pili huyo halipwi allowance kwa hela zetu, mie sina shaka. Rais wetu alichoka wanawake wa kibantu akaamua kudodosa mwanamke wa kiarabu, wewe wafanya mchezo na mbantu kwenye maswala hayo?
je huyu ndiye aliyehongwa mbuga ya Serengeti
Heshima Mbele.Ndio matatizo ya watoto wa darasa la saba kuwaachia mtandao !!,na wanaingia humu kuuliza upupu. swala ni la utendaji kazi wake raisi hata awe na wake 20 who cares ?.we tueleze nchi anaiendeshaje na anazingatia vipi maslai ya wananchi wake sio swala la ana sketi ngapi kwake camon pips !!!! wake up
Ndio matatizo ya watoto wa darasa la saba kuwaachia mtandao !!,na wanaingia humu kuuliza upupu. swala ni la utendaji kazi wake raisi hata awe na wake 20 who cares ?.we tueleze nchi anaiendeshaje na anazingatia vipi maslai ya wananchi wake sio swala la ana sketi ngapi kwake camon pips !!!! wake up
Wapendwa wanaJF, naomba mtu akosolewe kwa kutathmini hoja aliyotoa na si kwa idadi ya post. Mwanzo wa mia ni moja. Hata hivyo, kwenye pumba hapakosi chenga!Kwanza una post 13 umeona hapa sehemu ya kuuliza vitu vya ajabu ajabu mfate mwenyewe kamuulize
Ndio matatizo ya watoto wa darasa la saba kuwaachia mtandao !!,na wanaingia humu kuuliza upupu. swala ni la utendaji kazi wake raisi hata awe na wake 20 who cares ?.we tueleze nchi anaiendeshaje na anazingatia vipi maslai ya wananchi wake sio swala la ana sketi ngapi kwake camon pips !!!! wake up