Mke wa PILI wa JK

Status
Not open for further replies.
Waheshima, ndugu wana jukwaa wa jamiiforums naomba msaada kwenu. "Kuna taarifa zimezagaa kuwa JK ana mke wa pili aliyemuao wakati wa kampeni 2005. isitoshe mke huyo ni Muajemi (inarahisishwa kuwa ni Mwarabu) kwani ni dadaye Rostam Aziz."

Pia inadaiwa ndio maana JK hana ubavu wa kumueleza lolote RA pamoja na tuhuma zote zinazomuhusu ambazo ni kubwa kuliko za Yona na Mramba.

Narudia tena naombeni msaada wa kueleweshwa kuhusu hili.

Kwa mtazamo wangu, RAIS anatakiwa kuwa katika wazalendo wa kweli katika nchi, hvy hoja iko juu ya uraia wa mke. Hoja ya pili ni uhusiano wa RA na mke wa RAIS.
 
Kwa mnaodhani wake wawili wanampunguzia umakini, mnataka asiwe na mke kabisa ili awe na maximum level ya umakini?
 
kuna mwanamke nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa, hivyo basi ilikufanikiwa twamhitajia mwanamke, na ili kufanikiwa zaidi twahitajia wanawake zaidi.
ni mawazo chanya/hasi (+/-) tu. mnaonaje hilo?
 
Mbona mmeshupalia sana suala la kuwa na wake wawili ambalo siyo hoja ya msingi ya mtu aliyeleta hii thread?

hata hivyo kama ana wake wawili inawahusu nini? Je siku tukipata Rais kama Mswati mtasema mangapi? Au mtakimbilia kupeleka Dada zenu na watoto wenu waolewe na Rais?

Je, kama kweli alishaamua kuoa mke wa pili angemuoa nani?......Nakumbuka Mzee Makamba alipokuwa RC wa Dar aliwahi kufukuza gari moja lililokuwa limebeba Changudoa maeneo ya K'ndoni, mara alipolifikia gari hilo na kulisimamisha alimwamuru mwenye gari hilo amshushe huyo dada poa, Jamaa akamjibu hivi,.......... basi ngoja nimshushe ili upande wewe.

Swali, je mnataka JK amshushe ili mpande ninyi? Acha upuuzi, jadili mambo ya maana.
 
Sasa naona hadhi ya JF inaanza kupotea tunarudi kwenye udaku, lakini wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna mkono wa mtu wenye lengo baya na JF ikiwa ni pamoja na kutaka tufungiwe au tudharauliwe. Siamini kama kuna umakini katika mijadala ambayo sasa mingine inafikia hatua ya kutusi watu. Si kiwango cha JF asilani na ingekuwa hivyo toka mwanzo nadhani tusingekuwamo humu.

JK kama mwanasiasa na mwanajamii ana mapungufu na mazuri mengi ambayo tukiyajadili itasaidia kujenga nchi na si suala la mambo ya ndani na familia yake ambayo yana nafasi yake. Si kama hayapaswi kujadiliwa lakini kuna mahala pake na ndio maana Global Publisher hawakatazwi kuandika wanayoandika kuhusu kina Wema Sepetu na Johari lakini siku ukiona Tanzania Daima na MWananchi wakiandika habari ya mtu kafumaniwa, ujue sasa mambo si sawa na sasa JF naona mambo si sawa.

TUJISAHIHISHE HARAKA NAFASI TUNAYO.
 
FYI Huyu mke mdogo ndiye ali hijack project ya Bomba la Mafuta kwenda Mwanza.
Kwa hiyo tayari huyu Mama ameaanza kutumia ukaribu wake kama mke wa Kiongozi kujinifuanisha.
 
Kwa mnaodhani wake wawili wanampunguzia umakini, mnataka asiwe na mke kabisa ili awe na maximum level ya umakini?

Mkuu Cheki Prof. Kondi Rice alivyotuvuruga ulimwengu mzima hata hatujui Kaskazini tofauti yake na Kusini ni nini...yeye ni supa singo!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom