Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,558
Habari yako pampula.Jisalimishe mwenyewe kabla sijatema nyongo
Habari yako pampula.Jisalimishe mwenyewe kabla sijatema nyongo
Nilikuwa namtaka Numbisa ila nimekoma!![emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji72] [emoji72] [emoji72] [emoji72]alafu nasema niingiensasa niusome fresh ngj niende hahahahah hawa vichaa wakae espy na Madam Mwajuma uwii
Nimeshindwa kushangaa!
I second youYou guyz deserve a medal for this outstanding display of stupidity!
- KANA -
Habari yako pampula.
Shem kuniharibia dili zangu JF ndo nini!Numbisa kuwa makini na Behaviourist sio mtu mwema
Nitakupata tuu!Hahaha asante,nshakaa nae mbali kabisaa
Shem kuniharibia dili zangu JF ndo nini!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushauri mzuri, mke wa mtu akikutaka kimbia haraka maana hiyo ni hatari, lkn vijana wa leo akiambiwa anapendwa na mke wa mtu tu...atajiona mwenye bahati kweli..na kujisemea..."Mahindi yamemuotea mtu aliye na meno..ni kutafuna tu"....kazi kweli kweli.
Mama acha tuu sio kwa mbwembwe hizo
Ahahahaaaaaahahha sio malaika hata ! hahaha
Hiyo ni lugha ya picha eeh....
Ukitaka kulirusha niambie nifunge simu lisinipate maana nina majeraha ya kutosha.
Nipo njiani hapa.... hako kabomu huja nijibu.. ka naniPampula unarudi lin nyumbani?