mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
- #121
Usiombe changamoto hii ikukute.kuna wanawake wazuri aisee.mi sina comment.Ushauri mzuri, mke wa mtu akikutaka kimbia haraka maana hiyo ni hatari, lkn vijana wa leo akiambiwa anapendwa na mke wa mtu tu...atajiona mwenye bahati kweli..na kujisemea..."Mahindi yamemuotea mtu aliye na meno..ni kutafuna tu"....kazi kweli kweli.
Mbona mna mvuto saana tuuduh yaan mnataka kutuambia tumechoooooka !kias kwamba hatuna mvuto au? ukweli mie siamini
Karibuni saana, tunawapendaasante kutupa moyo
Umefurahi eeeh?hahaha
Nimefurahi saana pia, mke wa mtu anafaa kuonyeshwa upendo maana anaweza akawa anamiss hicho kituumenifurahisha
Nimefurahi saana pia, mke wa mtu anafaa kuonyeshwa upendo maana anaweza akawa anamiss hicho kitu
Usishangae mkuu, wanastahili kupendwa zaidi ya hawa single ladiesaisee
Usishangae mkuu, wanastahili kupendwa zaidi ya hawa single ladies
Wewe pia ni mke wa mtu, right?olalaa
Wewe pia ni mke wa mtu, right?
Nakuombea umpate anayekufaa 42 bado mbichi kabisa mimi bahati nzuri niko ndani ya ndoa miaka 5 sasa ningekufaahapana sijabahatika kuolewa bado !natafuta mchumba umri wowowte ule !mie nna 42 nw
muonyeshe upendo at your own riskNimefurahi saana pia, mke wa mtu anafaa kuonyeshwa upendo maana anaweza akawa anamiss hicho kitu
ah hapo inategemea ni dem wa nani. kama ana direct access na wasiojulikana, io ni sumu kali sanaVipi kutembea na demu wa mtu nayo ni sumu?
Sent from my Priceless H40-D00 Bombadier