Mke wa mtu sumu ewe kijana acha tamaa

Mke wa mtu sumu ewe kijana acha tamaa

Matatizo mengi ya jamii nyingi masikini yanazunguka tunda la kati.

Ndiyo kiburudisho chao rahisi kabisa.

Sent from my Kimulimuli
 
Ushauri mzuri, mke wa mtu akikutaka kimbia haraka maana hiyo ni hatari, lkn vijana wa leo akiambiwa anapendwa na mke wa mtu tu...atajiona mwenye bahati kweli..na kujisemea..."Mahindi yamemuotea mtu aliye na meno..ni kutafuna tu"....kazi kweli kweli.
Yaani wanaume ndiyo hapo wanapojionaga wana akili na wamaana kutongozwa na mwanamke tena mke wa mtu mie hizo picha ni ile kuzipata narushia ndugu zake wote mpaka wa kijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom