Mke wa mtu ni sumu

Mke wa mtu ni sumu

Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....

SWALI: Kwani "mume wa mtu" si sumu?
Mme wa mtu ni sumu kali zaidi maana "Mke" wa mtu unaemla hakupi adhabu ila "MME" wake ndio atakufanya ya kukufanya, hapo sumu kali sio mauno ya "Mke" ni atakayokufanyia "Mme" wake
 
Haikupendeza yeye kumwiba mke wa mwenzie but adhabu hiyo pia haikuwa ya utu .... yaan "dushe" ining'inie mtaa mzima
Acha tu alikuwa anatia huruma.
Ila yule aliyemtembeza mwenzie uchi hakumaliza mwaka alifariki mke akamuacha.
 
Waonje alafu wakutane na mwanamke mweny pesa alafu kapinda ndo jawabu litapatikana hapo
 
Sijui, maana naweza kuwa nala vya watu lakini sielewi.

Ila kuna kamsemo"cha mtu huliwa na mtu". Najua hata wangu analiwa ila sina uhakika

alafu mnatushauri tuoe!!?
 
Hata sijui aliumwa tu akafa.
Watu wakawa wanasema laana ya kumtembeza mwenzie uchi
sasa anayestahili laana ni nani hapo, aliyemtembeza mwenzake uchi au aliyekula vya watu?
ningekuwa mimi ningemkata huo mgegedeo kabisaaa.
Na mke nae kama anautaka usalama wake basi apotee kabla sijarudi home.
 
Back
Top Bottom