Ni kweli kabisa .... but je hilo laondoa ukweli kuwa hata wanawake nao huumia kwa kusalitiwa na wapenzi wao? .... na je wao hawana wivu?utamaduni uliopo mwanaume anaweza kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja na jamii ikamsifia ila mwanamke akiwa na mwanaume zaidi ya mmoja jamii itamuita malaya
Hawawekewi sanctionsMgwiji kiaje mkuu?
wanawake wanumia sana ila sababu tunakauvumilivu kidogoNi kweli kabisa .... but je hilo laondoa ukweli kuwa hata wanawake nao huumia kwa kusalitiwa na wapenzi wao? .... na je wao hawana wivu?
Wanaume peke yetu ndo tuna ruhusa ya kuishi na mke zaidi ya mmoja toka dunia imeumbwa,hvyo basi mwanaume wa mtu ni maziwa freshKumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....
SWALI: Kwani "mume wa mtu" si sumu?
Hahahaha kwann mkuu![]()
![]()
davoo mbona mchokoz ww
Wacha wewe,una kipaji cha kuvua pichu utakuwanaendesha zote
uchochezi sitakiWacha wewe,una kipaji cha kuvua pichu utakuwa
Mkuu uchochezi upi tena,au unadhani nakutangazia biashara bila vAT,wakija pm pliz uckubaliuchochezi sitaki