Mke wa mtu ni sumu

Mke wa mtu ni sumu

Mwanaume ndo anayelipa mahari hvyo mke ni Mali yake, kitendo cha kufunga ndoa ni mwanaume kujitangazia uma kwamba "mke ni Mali yake kihalali"
 
Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....

SWALI: Kwani "mume wa mtu" si sumu?
dawa yake maziwa. matafune kisha kunywa maziwa lita 5. Sumu yote nje
 
Mwanaume ndo anayelipa mahari hvyo mke ni Mali yake, kitendo cha kufunga ndoa ni mwanaume kujitangazia uma kwamba "mke ni Mali yake kihalali"
Je kwa jamii ambazo wanawake nao wanatoa mahali inakuwaje
 
Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....

SWALI: Kwani "mume wa mtu" si sumu?
Kuweni makini
 
Mijini hali inazidi kuwa mbaya zaidi, wamama wengi hawana hata chembe ya uoga, anakupa makavu tuu kama vile si mwanandoa, mbaya zaidi wanaambizana~kuna kijana mmoja aliajiriwa kazini kwetu pale, ndani ya muda mfupi kawapitia kina dada/mama karibia wote (sababu ya msingi=ana dushe la kufa mtu) w.t.f.....!?, kapoteza kazi kizembe kbs
Hahaha
 
Mwanaume ya yoyote anaetembea na mke wa mtu siku nisimkamate au nisiuziwe hiyo kesi. Mwanaume kamili hagombani na mkewe ila anamtafuta na kuweka mitego anayetafuna wake za watu.

Ukibahatika umeingia kwenye mikono yangu kwa kesi ya kutembea na mke wa mtu basi umekwisha!!
Acha vitisho dogo
 
Back
Top Bottom