Mke wa mtu ni sumu

Mke wa mtu ni sumu

Waambie kwamba, kufuli inayofunguka kila ufunguo ni ya hovyo lakini funguo inayofungua kila kufuli huitwa master.
Kama vile ambavyo "cku ya kufa kwa nyani miti yote huteleza" .... ndivyo itakuwa "funguo malaya" nayo itashindwa kufungua "kufuri" ... hapo c ndo pa KUOMBOLEZA
 
Aisee umenikumbusha mbali.
Kuna mwanaume alitembezwa uchi mtaani huku akila kichapo kisa mke wa mtu baada ya kufumwa nae.
Chaajabu mwanamke hakupewa adhabu yeyote.
Yaani yule kaka alitia huruma kwa kutembezwa uchi mtaa mzima na baadhi ya watu walilaani sana kile kitendo.
Toka hapo nikajua kuna wanaume wanaroho za ajabu likija suala la kuibiwa wake zao.
Sijui yule kaka kama atakaa arudie tena maisha yake yote
Haikupendeza yeye kumwiba mke wa mwenzie but adhabu hiyo pia haikuwa ya utu .... yaan "dushe" ining'inie mtaa mzima
 
Hiyo ni zaidi ya tetemeko, hapo hamna namna kama wanakula vya watu wapigwe tu
 
Mume wa mtu sisumu maana hafumaniwi, anakutwa ila hafukuziki na familia inasonga mbele jopo kutakuwa na kutokuaminiwa tena na upendo utapungua kwa couple, ila mke akifumaniwa mara nyingi familia inaparanganyika coz mama anafukuzwa na maisha yanabadilika ktk familia.
Omba ickukute afu mfumaniaji mwenyewe "nati" ziwe zishalegea .... aiseee
 
Usaliti ni mbaya sana trust me, na usaliti unasababishwa na mambo makuu matatu.

1) Genye mshindo.
Genye hizi usababishwa na fikra za kichwani.

2) Genye bombadia.
Genye hizi huwa zinasababishwa kutazama na kutokubali mambo yakupite na pia kuwa na tamaa kuliko uwezo.

3) Genye mlipuko.
Genye hizi huwa zinaletwa na upweke mara nyingi huwa zinakupereka sehemu sipo bila kujua thamani yako hivyo ukuperekea kupata malazi na mimba zisizo talajiwa
aina za "genye" .... ndo zmeisha zote mkuu?
 
Wanaume peke yetu ndo tuna ruhusa ya kuishi na mke zaidi ya mmoja toka dunia imeumbwa,hvyo basi mwanaume wa mtu ni maziwa fresh
maziwa mengine ya leo ni ya ki-mwendokasi bwashee .... yamechakachuliwa wala hayatoi sumu
 
Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....

SWALI: Kwani "mume wa mtu" si sumu?
Mime wa mtu inaweza kuwa simu lakini it is not guaranteed. Hata sheria ya ndoa inatambua kuwa ndoa naweza kuwa ya wake wengi (lakini si waume wengi). Hii inaitwa social constructionism yaani ni jamii iliyojenga utaratibu huo.
 
Mrembo kua mpole,nilikula ban baby,uwe standby maana ili kukupoza trip imebadilika,nakupeleka Thailand,Pattaya dream village ukapoze roho yako baby.
Kwakibali cha kutoka wapi hicho? Au thailand ya msamvu??
 
Sijui, maana naweza kuwa nala vya watu lakini sielewi.

Ila kuna kamsemo"cha mtu huliwa na mtu". Najua hata wangu analiwa ila sina uhakika
" cha mtu huliwa na mtu" nimeipenda hiyo .... ngoja nami nijaribu kumla "sakayo"
 
Back
Top Bottom