Kwa kuwa si ruhusa kutukana hadharani hapa JF naomba kwa taadhima elewa tu nimekutukana tusi kubwa sana kimoyo moyo
siwezi kuacha kuhongwa napenda raha sana hasa na mke wa mtu
Mbona mkali mkuu si kataka mwenyewe
siwezi kuacha kuhongwa napenda raha sana hasa na mke wa mtu
Nimeipenda, natumia teckno nimeshindwa kugonga likeKwa kuwa si ruhusa kutukana hadharani hapa JF naomba kwa taadhima elewa tu nimekutukana tusi kubwa sana kimoyo moyo
Ili nisipigwe ban hapa naomba nikutukane kupitia PM nenda kaangalie, unaleta ujinga ambao hauna manufaa yoyota
Kwa kuwa si ruhusa kutukana hadharani hapa JF naomba kwa taadhima elewa tu nimekutukana tusi kubwa sana kimoyo moyo
hongera sana kaka
Ili nisipigwe ban hapa naomba nikutukane kupitia PM nenda kaangalie, unaleta ujinga ambao hauna manufaa yoyota
siku ukipata ukimwi utakuja tena kutuomba ushauri humu?Naombeni ushauri wakuu
wakuu vipi mimi ni kijana mwenye bahati ya kupendwa na mke wa mtu ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya TBL.
ukweli wa mungu ananipenda sana.maana nampa mapenzi ambayo yeye mwenyewe anadai hajawai na haamini kama atakuja kupata tena kwa mantiki hiyo amekuwa akinihonga pesa nyingi sana kila wiki.
lakini kwa sasa amepunguza kunipa pesa anadai kuna mipango mizuri na ma suprise kubwa sana anataka kunifanyia ambayo itakuwa ya pesa nyingi mno.
kwa hiyo wiki ya tatu sasa sijapata pesa ni kawaida kupewa laki tatu kwa wiki hali hii imeanza kunikera kwa kweli.
naombeni ushauri wadau nimfanye nini huyu mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu
Angalia usijekuta ni mke wangu
Kwa kuwa si ruhusa kutukana hadharani hapa JF naomba kwa taadhima elewa tu nimekutukana tusi kubwa sana kimoyo moyo