Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,437
wakuu vipi mimi ni kijana mwenye bahati ya kupendwa na mke wa mtu ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya TBL.
ukweli wa mungu ananipenda sana.maana nampa mapenzi ambayo yeye mwenyewe anadai hajawai na haamini kama atakuja kupata tena kwa mantiki hiyo amekuwa akinihonga pesa nyingi sana kila wiki.
lakini kwa sasa amepunguza kunipa pesa anadai kuna mipango mizuri na ma suprise kubwa sana anataka kunifanyia ambayo itakuwa ya pesa nyingi mno.
kwa hiyo wiki ya tatu sasa sijapata pesa ni kawaida kupewa laki tatu kwa wiki hali hii imeanza kunikera kwa kweli.
naombeni ushauri wadau nimfanye nini huyu mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu
Hayatuhusu. This is your private business.