Mke wa mtu ataka kuwa dereva Bodaboda

Mke wa mtu ataka kuwa dereva Bodaboda

nikijibu kimungu ni sawa tu, wala haina shida, kwa sbb kama anaweza kuendesha kwan anafanya kwa malengo
 
Habari,

Kutokana na maisha kuwa magumu, dada mmoja mke wa mwanamtaa mwenzangu ameamua kumuomba mumewe nae awe dreva boda boda. Hii imekuja baada ya kuona majukumu ya mumewe yamekuwa mengi na pesa ya kukidhi maisha yao, hasa kuwasomesha wanawe wawili, imekuwa changamoto.

Mdada huyo kaja na proposal ya kukopa pesa vikoba aongezee na ile aliyopata kutoka mauzo ya mahindi anunue pikipiki aingie mtaani kusaka shekeli.

Wazo langu,
Ni wazo zuri lakini kwa mazingira yetu naona kama itakuwa changamoto ktk ndoa yako. Si kila kazi mwanaume afanyayo mwanamke nae inamfaa.

Shukrani.

constructive idea...natamani ningekuwa na mke mchapakazi kama huyo.
 
Atakula sana vichwa hasa sisi akina MO11
 
Last edited by a moderator:

uyo mke wa mtu atakua anapaki kituo gani? nataka niwe namkodi kila siku anipeleke posta na kunirudisha.
 
Kamwe siwezi kupanda bodaboda inayoendeshwa na mwanamke kwani kifo ni nje nje, alafu mi kama ni mke wangu ndo katoa propasal ya kuwa dereva bodaboda basi taraka lazima imuhusu sana.
 
Habari,

Kutokana na maisha kuwa magumu, dada mmoja mke wa mwanamtaa mwenzangu ameamua kumuomba mumewe nae awe dreva boda boda. Hii imekuja baada ya kuona majukumu ya mumewe yamekuwa mengi na pesa ya kukidhi maisha yao, hasa kuwasomesha wanawe wawili, imekuwa changamoto.

Mdada huyo kaja na proposal ya kukopa pesa vikoba aongezee na ile aliyopata kutoka mauzo ya mahindi anunue pikipiki aingie mtaani kusaka shekeli.

Wazo langu,
Ni wazo zuri lakini kwa mazingira yetu naona kama itakuwa changamoto ktk ndoa yako. Si kila kazi mwanaume afanyayo mwanamke nae inamfaa.

Shukrani.

Huyo dada amejaaliwa neema za Allah?!!
 
Its all good....

Safi sana

Watawai kutajilika

kazi ni kazi .. muhimu pesa

HUYU DADA ANAJUA SANA. VIJANA WA KIUME NI BANGI +VIROBA :BAnge:

Kila kitu kinawezekana kama hatashawishika kutumia viroba

constructive idea...natamani ningekuwa na mke mchapakazi kama huyo.

kuandaa chakula atafanya nani hiyo kazi...kumbuka wana watoto...na pia baba anaenda kwenye mishe zake...kwa nini wasinunue hiyo boda boda mama akawa msimamiaji mkubwa!!not for my wife...
 
Khaa!! hiyo bodaboda nitaikodi kila siku tena siku nzima labda aweke masharti jinsi ya kujishikilia:glasses-nerdy:

Akinipakia Namkumbatia namg'ang'ania huku namvutia papuch yake picha mpaka nifike nishapiga bao

Akinipakia namkumbatia namng'ang'ania kama ruba huku navutia picha papuch yake mpaka nifike nisha piga bao

Atakula sana vichwa hasa sisi akina MO11

uyo mke wa mtu atakua anapaki kituo gani? nataka niwe namkodi kila siku anipeleke posta na kunirudisha.

abiria wenyewe wa dizaini hii....
 
kuandaa chakula atafanya nani hiyo kazi...kumbuka wana watoto...na pia baba anaenda kwenye mishe zake...kwa nini wasinunue hiyo boda boda mama akawa msimamiaji mkubwa!!not for my wife...

Hapo ndiyo utajua mwaume ana akili gani?
 
Akinipakia Namkumbatia namg'ang'ania huku namvutia papuch yake picha mpaka nifike nishapiga bao

Wazinzi utawajua tu! Sasa jioni kama unamharibia mwenzio kazi? Acha ufuska bro
 
Back
Top Bottom