Mke wa mtu aning’ang’ania

Mke wa mtu aning’ang’ania

you deserve a death penalty. unaharibu ndoa ya mwenzako kisha unataka ushauri.

eti bachelor....who told you a divorcee is a bachelor?
 
Mwache ajifanye chizi eti mke wa mtu anamtambulisha mwanaume mwingine kwao hahahahahahaha chai hii
ndio hivyo mkuu,mapenzi yamenoga.alikua anazeekea bure tu kwa mme wake.
 
We nadhani wanawake hujawajua Vema.. Kama naweza kukupa papuchi na yuko na mumewe..
Atashindwa nini kampatia papuchi mwingne ukiwa Nae?
Lakini pia kama anaweza kumwacha mumewe Atashindwa nn kukuachaa?
Huyo ni mlaya kama; Malaya wengine.. Tofauti kajificha kwenye kichaka kinachoitwa Mume.
Nawasilisha.
Huu ushauri tosha kabisa.. Kama ana Akili achukue ushauri huu na hatarudia kuhangaika ovyo
 
SI KWELI....HAPO WEWE NDIYE UNAYEMNG'ANG'ANIA.
 
naomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha

Mkuu sasa unataka ushauri gani? kama unampenda ndo muoe. Ila hakikisha tu mumewe asije kujua kama mumekua na uhusiano na mkewe kwa kipindi kabla hujamuoa.
 
Mke wa mtu ni sumu!! Hivyo unang'ang'aniwa na sumu! Kimbia utakufa, kaa mbali.
 
Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake zetu.nilishindwa kuvumilia na nikaachana na mke wangu.Hivyobasi katika kuishi maisha ya u bachelor nikiwa kazini nikawa karibu sana na mdada ambaye alikua ananielezea shida anazozipata kwenye ndoa yake.Mwisho wa siku nilimfariji na tukawa marafiki wakubwa mpaka leo natoka naye.Ananipenda kupita maelezo.na mimi kwa kweli nampenda jinsi anavyo care.ameniahidi yuko tayari aachane na mme wake ili tuishi wote.naombeni ushauri wenu wadau,nifanyaje ili niishi na huyu mke wa mtu.
Unamuona mtamu sababu analala kwingine, ukishaanza ishi nae penzi litakufa. Litaporomoka fasta mzee, acha kabisa tamaa hizo.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti na umri wako bado hujatambua tu
 
Ushauri wa kitu gani?Uzinzi unaofanya?au yeye kuachana na mume wake?What you are doing is inhuman.
 
Miaka thelathini na sita bado hujitambui!
Umri huu unatakiwa kutoa ushauri wa vijana kuachana na mambo hayo na wala si wewe kuomba ushauri wa kipumbavu hivi.
 
Mbona hakuna mahali panapoonyesha ni namna gani huyo mke wa mtu anavyokung'ang'ania...

Alafu hizo ahadi za kuambiwa yupo tayari kuachana na mume wake awe na wewe, usiamini sana...

Cc: mahondaw
 
Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake zetu.nilishindwa kuvumilia na nikaachana na mke wangu.Hivyobasi katika kuishi maisha ya u bachelor nikiwa kazini nikawa karibu sana na mdada ambaye alikua ananielezea shida anazozipata kwenye ndoa yake.Mwisho wa siku nilimfariji na tukawa marafiki wakubwa mpaka leo natoka naye.Ananipenda kupita maelezo.na mimi kwa kweli nampenda jinsi anavyo care.ameniahidi yuko tayari aachane na mme wake ili tuishi wote.naombeni ushauri wenu wadau,nifanyaje ili niishi na huyu mke wa mtu.
Jiandae kufumuliwa Malinda Mapema tu.
Huwezi gegeda Mke wa Mtu na ukabaki salama
 
watu wana stock za KY majumbani wanawasubiria watu kama nyie tu waingie mzigoni
 
Back
Top Bottom