cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,432
Mmh
naomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha
naomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha

Kubali kuolewa na huyo mwanamume uwe mke wapilinaomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha
Mshitaki kwa mumeweHabari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake zetu.nilishindwa kuvumilia na nikaachana na mke wangu.Hivyobasi katika kuishi maisha ya u bachelor nikiwa kazini nikawa karibu sana na mdada ambaye alikua ananielezea shida anazozipata kwenye ndoa yake.Mwisho wa siku nilimfariji na tukawa marafiki wakubwa mpaka leo natoka naye.Ananipenda kupita maelezo.na mimi kwa kweli nampenda jinsi anavyo care.ameniahidi yuko tayari aachane na mme wake ili tuishi wote.naombeni ushauri wenu wadau,nifanyaje ili niishi na huyu mke wa mtu.
umevunja yako unataka kuvunja na za wengine ?Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake zetu.nilishindwa kuvumilia na nikaachana na mke wangu.Hivyobasi katika kuishi maisha ya u bachelor nikiwa kazini nikawa karibu sana na mdada ambaye alikua ananielezea shida anazozipata kwenye ndoa yake.Mwisho wa siku nilimfariji na tukawa marafiki wakubwa mpaka leo natoka naye.Ananipenda kupita maelezo.na mimi kwa kweli nampenda jinsi anavyo care.ameniahidi yuko tayari aachane na mme wake ili tuishi wote.naombeni ushauri wenu wadau,nifanyaje ili niishi na huyu mke wa mtu.
naomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha
We nadhani wanawake hujawajua Vema.. Kama naweza kukupa papuchi na yuko na mumewe..
Atashindwa nini kampatia papuchi mwingne ukiwa Nae?
Lakini pia kama anaweza kumwacha mumewe Atashindwa nn kukuachaa?
Huyo ni mlaya kama; Malaya wengine.. Tofauti kajificha kwenye kichaka kinachoitwa Mume.
Nawasilisha.
We sema anakung'ang'ania tu...... Siku mumewe akijua umekwisha badala ya gunia mbili za mkaa kwako zitawekwa tano hata meno hayatobakia
Kwa hiyo umeleta huku ili iwaje km tayari mshafanya maamuzi yenu!?nishamtambulisha kwao na yeye kashanitambulisha ukweeni.kilichobaki ni mapinduzi tu kwa mume wake.Koloni nishalitawala
Kama ataweza kumwacha mume wake na aje kwako basi na wewe jiandae kuachwa ts only the matter of time..naomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha
Wewe unautani unachukulia hilo jambo kiwepesi unaweza kufa hujui huyo mumewe atalipokeaje hilo jambo na atapanga kukufanyia nini ni hatari mkuu.nishamtambulisha kwao na yeye kashanitambulisha ukweeni.kilichobaki ni mapinduzi tu kwa mume wake.Koloni nishalitawala
Pumbu kweli wewe beautiful na mke wa mtuNinampenda,ananipenda.love is a beautiful thing
ushauri mzuri utaupata kwa mume wa uyo dada sisi wengine tutakudanganya tunaomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha