Mke wa mtu aning’ang’ania

Mke wa mtu aning’ang’ania

Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake zetu.nilishindwa kuvumilia na nikaachana na mke wangu.Hivyobasi katika kuishi maisha ya u bachelor nikiwa kazini nikawa karibu sana na mdada ambaye alikua ananielezea shida anazozipata kwenye ndoa yake.Mwisho wa siku nilimfariji na tukawa marafiki wakubwa mpaka leo natoka naye.Ananipenda kupita maelezo.na mimi kwa kweli nampenda jinsi anavyo care.ameniahidi yuko tayari aachane na mme wake ili tuishi wote.naombeni ushauri wenu wadau,nifanyaje ili niishi na huyu mke wa mtu.
miaka 36 unaandikaje ivyo mkuu?
 
Akiachana na mumewe akija kwako,baadae tena atapata mwanaume mwingine utaendelea kugongewa kama kawa
 
Shetan wa mtu n mtu
Acha kuharbu ndoa ya mwenzako
 
Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake zetu.nilishindwa kuvumilia na nikaachana na mke wangu.Hivyobasi katika kuishi maisha ya u bachelor nikiwa kazini nikawa karibu sana na mdada ambaye alikua ananielezea shida anazozipata kwenye ndoa yake.Mwisho wa siku nilimfariji na tukawa marafiki wakubwa mpaka leo natoka naye.Ananipenda kupita maelezo.na mimi kwa kweli nampenda jinsi anavyo care.ameniahidi yuko tayari aachane na mme wake ili tuishi wote.naombeni ushauri wenu wadau,nifanyaje ili niishi na huyu mke wa mtu.
Muoe tu, hakuna shida
 
Unanunua shamba au kiwanja chenye migogoro una hatari mzees baba
 
Ukiishi naye tu mnaachana tu. Vya kunyonga huwa ni vitamu kunyonga hivyo hivyo, ukichinja tu utamu wote unapotea. Endelea kunyonga bila kuchinja. Kula nyama.
 
Nadhani gunia mbili za mkaa zinakuhusu

Ushaambiwa mke wa mtu sumu na bado unaangaika nae. Kama anakuta sana nenda kwa mumewe ukamwambia kuwa mke wakoa ananitka kama utoi huduma vizuri toa kwanzia leo.

Maana watu wana stress bro angalia wasije kukupunguzia stress zao
 
Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake zetu.nilishindwa kuvumilia na nikaachana na mke wangu.Hivyobasi katika kuishi maisha ya u bachelor nikiwa kazini nikawa karibu sana na mdada ambaye alikua ananielezea shida anazozipata kwenye ndoa yake.Mwisho wa siku nilimfariji na tukawa marafiki wakubwa mpaka leo natoka naye.Ananipenda kupita maelezo.na mimi kwa kweli nampenda jinsi anavyo care.ameniahidi yuko tayari aachane na mme wake ili tuishi wote.naombeni ushauri wenu wadau,nifanyaje ili niishi na huyu mke wa mtu.
Mwanamke/ mwanaume yeyoye aliye tayari kuachana na mkewe/mumewe ili muoane HAFAI kabisa , mikwaruzano ndani ya mahusiano yeyote hayaepukiki , hivyo siku na wewe akikuchoka akakutana na mwingine kama alivyokutana na wewe atakuacha . Usithubutu , halafu tambua kuwa katika mvurugano uliopo kwenye ndoa yake ya sasa wewe badala ya kuwa sehemu ya ufumbuzi , umekuwa moto wa petrol kwenye nyasi kavu
 
Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake zetu.nilishindwa kuvumilia na nikaachana na mke wangu.Hivyobasi katika kuishi maisha ya u bachelor nikiwa kazini nikawa karibu sana na mdada ambaye alikua ananielezea shida anazozipata kwenye ndoa yake.Mwisho wa siku nilimfariji na tukawa marafiki wakubwa mpaka leo natoka naye.Ananipenda kupita maelezo.na mimi kwa kweli nampenda jinsi anavyo care.ameniahidi yuko tayari aachane na mme wake ili tuishi wote.naombeni ushauri wenu wadau,nifanyaje ili niishi na huyu mke wa mtu.
1)Huyo hakupendi ila Huwa anakutamani tu.!
2)Kwahiyo axhana nae kabisaaaaaa ni matatizo hayo.
3) Sema na nyege zako. Mumewe akijua atakuja kuku fir......a na wewe uwone Raha.
 
wanawake wamejaa town unahangaika na jike la mtu we vepe??
 
Peleka posa kwa mme wake, akisha ipokea mrudishie mahari yake yote na mambo yote,yatakuwa yamekwisha, naye huyo mwanamke atakuwa mkeo milele. Angalizo, mali ya wizi ni tamu sana, kuliko ya halali. Hivyo siku ukimkubali awe mkeo, utajuta maisha yako yote. Kumbuka, wanaume tunavumilia mengi sana kama na sisi tungeamua kuwa vidomo domo kama baadhi ya wake zetu baki pa singe kuwepo ndoa wala kuishi na mwanamke kinyumba, leo hii.
 
Kuna shida mahali,hata hiyo ndoa yako ya kwanza msababishi mkuu Ni wewe
 
Mwanzo wa safari ya kimapenzi huwa mnaonana kama ni perfect match ila mwishoni mtaonana kama mnavyoowaona wenzi wenu wa sasa.
Habari zenu humu ndani,bila shaka wote humu wazima.Mimi ni kijana mwenye umri 36,ni mfanyakazi wa taasisi ya uma.Ndoa yangu ilinishinda muda mrefu sana kutokana na makwazo ya wanawake zetu.nilishindwa kuvumilia na nikaachana na mke wangu.Hivyobasi katika kuishi maisha ya u bachelor nikiwa kazini nikawa karibu sana na mdada ambaye alikua ananielezea shida anazozipata kwenye ndoa yake.Mwisho wa siku nilimfariji na tukawa marafiki wakubwa mpaka leo natoka naye.Ananipenda kupita maelezo.na mimi kwa kweli nampenda jinsi anavyo care.ameniahidi yuko tayari aachane na mme wake ili tuishi wote.naombeni ushauri wenu wadau,nifanyaje ili niishi na huyu mke wa mtu.
 
mapenzi yalivyo kolea yani natamani hata niwaite waandishi wa habari wanihoji...
 
Back
Top Bottom