Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
kwa ushauri zaidi nenda mmu
good advise my special advisor.
kwa ushauri zaidi nenda mmu
khaa sasa unaongea hivyo ndio wewe huyo unaetoa upepo tairi nini?yaani mbili 2,hiyo ni trela 2 subiri mkanda mzima si unafikiri we mwanaume sana eh,unaopoa tu eh?haya kesho utanihadithia mengne,kwa mkeo,
kufanyiwa umafia
kufanyiwa roho mbaya
kufanyiwa mtima nyongo
kufanyiwa unoko
kuletewa noma ile kinoma
Yaani mbili 2,hiyo ni trela 2 subiri mkanda mzima si unafikiri we mwanaume sana eh,unaopoa tu eh?haya kesho utanihadithia mengne,kwa mkeo,
Hommie umesahau liwalo na liwe?
Huu msamiati huu una maana gani BADILI TABIA? duhh
My X Mamndenyi hujambo bibie? Kwanini unaongea kisw cha kichaga? sema MAMSAPUTena mwanaume anazarau sana huyu,
siku akija na huyo mamsabu wake anatakiwa aonyeshwe mke mwenzie
na ndipo mwanaume atapata discpline.
My X Mamndenyi hujambo bibie? Kwanini unaongea kisw cha kichaga? sema MAMSAPU
noumer ile kinoumer! Hahaha hahaha hahaha!