Mke wa mtu anifanyia ubandidu

Bandiko lako lanikumbusha wosia wa my Grandfather (The late)
he was a wiseman aliwahi kuniambia "Ukimega mke wa mtu, na wako LAZIMA amegwe"
 
Nami nazungumzia enzi hizi za Zito Kabwe. Hivi unajua dawa ya deni ni nini?

Hahahaha sasa Zito hapa amekujaje?

Dawa ya deni ni kulipa.....ila kama mdaiwa bado hajapata anaongezewa muda zaidi.....na ukae ukijua mdaiwa hafungwi!
 
kaka siku ingine kama humtaki mwanaume hata kwa wanawake just give her/he ashit sio unajitia kuwa karibu nae kumsanifu halafu unamuonyeshea, hii mimama ya mjini iliyoshindikana unaijua?hapo ameanza na trela subiri akukodihie watu ulipokosea ni kuwa karibu nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom