Mke wa Mtu ananitaka

Ignore. Hakuna kitu kibaya kwa wanawake kama uki-ignore kila kitu chake. labda awe akili ameihifadhi Lutindi.

Achana nae hana dili huyo . bora angesema anakutamani kuliko kumponda mumewe.
 
nadhani kama una evidence zote nenda na hizo evidence omba kikao ww,mkeo,mumewe na huyo fisadi wa mapenzi weka kila kitu wazi,its very easy

Achana nae huyo, hayuko serious, kama kaamua kucheka na nyani we mwache avune mabua!
 
Sema kiunaga ubaga kuwa KIFO KINAKUTAKA sio mke wa mtu.
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.

Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?

naombeni msaada wenu
 
kaka u handsome utakuuwa - kucheza na nyumba ya mtu sawa sawa kucheza na moto......acha mara moja achaaaaa...

Hakuna lolote, kuna watu viwembe tu, wanawake na wanaume, sasa huyu aliyetakwa na mwanamke ukubwani ndio anaanza kushangaa! inamaana asingekuwa mke wa mtu angepitia au, ye apotelee mbali, wanaume wasiokuwa na maamuzi kama hawa ndio wanaotuletea matatizo ktk jammi yetu!
 
mpe haki yake jamani tumeagizwa kependana na kupeana mahitaji kwa nini unamnyanyapaa mtoto wa mwenzio, mtimizie Elli angalau mara moja moja
 
Hivi unaongea ukiwa sober au?
 
Kuna ukimwi kumbuka, we must be responsible 4 our actions, kuna kuchinjwa unajua!
 
Mpotezee tu huyo , anamponda mume wake ili uone wewe unafaa na anateseka sana, muongo anataka tu kukupata , sasa chakufanya mpige tu mkwara then usipokee simu yake na wala kujibu msg mwenyewe atachoka.
 
Baba uza mzigo kwa kuelewana na Fidel80 kidume cha mbegu halafu mwite mbali kama Bagamoyo vile apewe hizo bia anazotaka na mazagazaga mengine na baada ya hapo atakuheshimu kama shemeji x 2 (kwa mumewe na Fidel) full stop!
 
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.

Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?

naombeni msaada wenu

Au ni Da Sophy?
 
Huyo mke ni zero kabisa. Hafai kuwa mke na namwonea huruma huyo mumewe maana huenda hata hajui mambo ya mkewe.

Iwe kisa cha kweli au cha kutunga ukweli unabaki kuwa ni karibu na hakuna ndoa yenye uaminifu wa asilimia 100. Wake kwa waume wote wana capability iliyo sawa katika kutoka nje za ndoa zao.

Kwa hiyo ukitaka yasikukute kabisa haya ya kuibiwa dawa nim moja tu....
 
Umekua na kuokoka lini? I am impressed!

Amandla.....
 
Back
Top Bottom