Mke wa Mtu ananitaka

si ndio anachonidai mpwa?? yeye anataka bia, huku akimshusha hadhi yaani akimponda mumewe...hata hivyo baadhi ya ushauri nilioupokea hapa, to be sincere, umenisaidia saana, nawashukuru sana wa JF waliochangia mada hiii
 
Haya mpwa naona umenitosa kiaina.
 
sasa ukim2kana itasaidia nn mpe fact akikomaa mpandie juu ebo?????
 
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.

Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?

naombeni msaada wenu
Akutakaye mtake,akukatae mkatae!
 
kujichanganya vibaya atakuzushia ulikuwa ww unamtaka ,careful.
Swali ulinza vp kuchat naye mke wa mtu na wewe mume wa mtu simu lipeana kwa miadi gani?
 
Anakutaka ok na wewe je unamtaka humtaki? Kama unamtaka ni kama kusukuma mlevi. kama humtaki tuwende kwenye swali lingine

Kwa nini humtaki?
(a) yeye ni mke wa mtu
(b)Wewe ni mume wa mtu
(c) yeye ni mke wa mtu na wewe ni mume wa mtu
(d)hujavutiwa naye

Kwa jinsi ulivyoleta swali jibu lako linaonekana ni kati ya a, b ma c. Naamini jibu ingekuwa d wala usingeomba ushauri. Kwa hiyo inaonekana ni kwamba huyu mke wa mtu ungemfikiria kubanjuana naye kama angekuwa hajaolewa au wewe hujaoa. So give her a smile.
 
Kaka hivi unajua kwamba wanawake akili za mapenzi hawanazo amini usiamini mwanamke aweza tongozwa au jitongozesha hata kwa kichaa anakubali zamani nilizani labda ni tamaa ya vitu vidogo kumbe wapi hata umpe nini mwanamke bado atataka kajiko ka nje hawana maana nakushauri kaka achana nae mheshimu huyo mwanaume mwenzetu na shemeji yangu la mwisho kaka katika maisha yako yoote usije ukamwamini sana mwanamke mpaka ukampa siri zako za ndani utajuta kaka wanawake siyo watu kabisa hata huyo shem wangu ukija kumchunguza kwa makini utashangaa ila usifanye hivyo najua unampenda sana pia wanawake huwa hawaoni mbali huwa wanaona hapo walipo tu
 
Ukipiga tu ndio mwanzo wa mwisho. Mpotezee kabisaa hata sms usitume. Atakata tamaa tu nakutafuta jirani mwingine.
 
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.

Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?

naombeni msaada wenu

Kuna mabo mengi sana ya kujiuliza.

Kwanza namba yako au ile ya kwake mlipeana vipi?

Kwa njia hiyo mliopeana hizo namba za simu, tumia njia hiyo hiyo kumpa pesa akanunue hiyo bia anayotaka.

Sikushauri hata siku moja kuvunja nae amri ya sita.
 
Ukitaka kuuhama mji basi mguse hafu ukamatwe ndo utajua kuwa mke wa mtu ni sumu na si msichana. Best mpuuzie huyo!
 
Hadi walioolewa wanataka waume wa wenzao, si bure kuna ibilisi! Kama angekuwa hajaolewa hapo sawa.
 
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.

Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?

naombeni msaada wenu

We hauko serious, kwani hapo panahitaji mjadala, huyo anataka kukuua, "ikimbieni zinaa", wewe unamchekeachekea eti mke wa mtu ananitaka! We fanya kama dhamira yako inavyokutuma!
Kama huwezi kuwa na maamuzi juu ya hili mpaka uje hapa basi hufai hata kuwa mme wa mtu!
 
nadhani kama una evidence zote nenda na hizo evidence omba kikao ww,mkeo,mumewe na huyo fisadi wa mapenzi weka kila kitu wazi,its very easy
 
Naandika kilicho kweli nikijua kweli itaniweka huru; Huyu mama ambaye ni jirani yangu hapa ninapoishi kweli simuelewi kabsaa. Kila kukicha simu haziishi na hasa anataimu mida ambayo nipo kazini akijua kuwa waifu hatajua na mumewe hatajua. Kinachoniuma zaidi ni kuona jinsi jamaa yake anavyompenda na tunavyoheshimiana. Nimejaribu kumweleza hata jana nilimwambia kuwa si vizuri yeye anachotaka nikamnunulie bia, mimi si mlevi na sijawahi kunywa hata bia yenyewe lakini hanielewi.

Nilitaka nimwambie waifu, nikaona wanawake sometimes hawana dogo wala uvumilivu, nikataka nimwambie jamaa mwenye mali yake, nikaona kwa mazingira ya kawaida hatanielewa ataona tu mie ndo namtaka mkewe, lakini pia nataka nijaribu kuwaeleza ndugu zangu kwani sitaki kuvunja wala kuvunjiwa nyumba yangu! je nimtukane?

naombeni msaada wenu

kaka u handsome utakuuwa - kucheza na nyumba ya mtu sawa sawa kucheza na moto......acha mara moja achaaaaa...
 
Back
Top Bottom