- Thread starter
- #61
Vipi siku ubambwe, watapita na hicho kisamvu, unaweka rehani kinyeo chako pasipokujua.
Dah ! Nimeshtuka 😀😀😀
Vipi siku ubambwe, watapita na hicho kisamvu, unaweka rehani kinyeo chako pasipokujua.
Nakubali,nimejifunza the hardway hili swala mkuu,iliwahi kunitokea shida kazini miaka flani huko nyuma,mume alikuja kunireport ofisini kwangu Kwamba natembea na mkewe,asee bila hekima ya bosi wangu nadhani si kupoteza kazi tu Bali ningefedheheka kabisa hata na ukoo wangu mzima,Mungu atupe nguvu vijana!!!
nakushauri kama mwanaume mwenzio tena malaya mzoefu, ACHANA NA WAKE ZA WATU.!!
Mwambie aache wivu soon nitamtembelea na zawadi yake 😅Hajambo kabisa, ntamfikishia salamu hizi, atafirahi kupokea hizo zawadi mjukuu, karibu😂
Astaghfirullah.!!May your private parts disappear
Amen🙏
Sawa kidumeUkilinda heshima za watu...ya kwako hailindwi na yeyote...ni mfumo wa kidunia
Habari kuu , mchana huu.
Watoto wa kiswahili wanakwambia mke wa mtu hatongozwi.
Ukikutanisha nae macho tu tayari 😀😀😀
Sasa yupo mama mmoja tumezoeana sana...na ndo mbinu yangu ya kuwala majimama, sitongozi ni story tu then naomba mzigo....utaskia unawezaaa! Usije ukakimbia aah.. jimama likikwambia hivyo we jipige kifua bas linakupa mzigo.
Basi huyu mdada ambaye ni mmama na mke wa mtu baada ya kunizoea kidogo na story kadhaa. Ameanza kunionesha kivitendo kuwa ananitaka.
Changamoto ni sio mrembo, ingawaje akinisogelea tu...mb.... inadi...a. kuliko kawaida.
Nipo natafakari kwa kina kwamba huyu mke wa mtu nikimuita lodge namfukua mtaro aaaah dadeki zao wake za watu.
NB : Usile mke w Thua mtu bila kumfukua mtaro.
Mkuu watakufokonyoa samadi hutoamini,, acha kabisaaa hata uone huyo mwenye mke ni mnyonge utatapakaa samadi utajimaliza mwenyewe tu acha kabisaaaHabari kuu , mchana huu.
Watoto wa kiswahili wanakwambia mke wa mtu hatongozwi.
Ukikutanisha nae macho tu tayari 😀😀😀
Sasa yupo mama mmoja tumezoeana sana...na ndo mbinu yangu ya kuwala majimama, sitongozi ni story tu then naomba mzigo....utaskia unawezaaa! Usije ukakimbia aah.. jimama likikwambia hivyo we jipige kifua bas linakupa mzigo.
Basi huyu mdada ambaye ni mmama na mke wa mtu baada ya kunizoea kidogo na story kadhaa. Ameanza kunionesha kivitendo kuwa ananitaka.
Changamoto ni sio mrembo, ingawaje akinisogelea tu...mb.... inadi...a. kuliko kawaida.
Nipo natafakari kwa kina kwamba huyu mke wa mtu nikimuita lodge namfukua mtaro aaaah dadeki zao wake za watu.
NB : Usile mke wa mtu bila kumfukua mtaro.
Duuh,
Acha wake za watu mkuu, ukibambwa adhabu yake ni kubwa.Dah ! Nimeshtuka 😀😀😀
Hahahhaha cna mke mm mkuu .na siwez miliki mkee ntauwaWewe mke wako anachapwa...amka
Ukiona katazo halizingatiwi ujue kinachotafutwa ni hiyo adhabu.Acha wake za watu mkuu, ukibambwa adhabu yake ni kubwa.