Mke wa mtu ananitaka

Mke wa mtu ananitaka

Habari kuu , mchana huu.

Watoto wa kiswahili wanakwambia mke wa mtu hatongozwi.

Ukikutanisha nae macho tu tayari 😀😀😀

Sasa yupo mama mmoja tumezoeana sana...na ndo mbinu yangu ya kuwala majimama, sitongozi ni story tu then naomba mzigo....utaskia unawezaaa! Usije ukakimbia aah.. jimama likikwambia hivyo we jipige kifua bas linakupa mzigo.

Basi huyu mdada ambaye ni mmama na mke wa mtu baada ya kunizoea kidogo na story kadhaa. Ameanza kunionesha kivitendo kuwa ananitaka.

Changamoto ni sio mrembo, ingawaje akinisogelea tu...mb.... inadi...a. kuliko kawaida.

Nipo natafakari kwa kina kwamba huyu mke wa mtu nikimuita lodge namfukua mtaro aaaah dadeki zao wake za watu.

NB : Usile mke wa mtu bila kumfukua mtaro.
Achana na wake za watu.
 
Wanaliwa hawa, sasa kama mke wa mtu anajiparatisha utamuachaje? Waume za watu nao wamekuwa goigoi kutokana na maradhi waliyonayo na tabia za kuharibu ufanisi wa kupiga shoo, hawawezi tena, inabidi wake zao wakatege nje wabigwe shoo za uhakika warudi nyumbani kuegesha

Uwakika mzee.
 
Mzee kitabu chako hakina ile sheria ya kutokula mke wa mwanaume mwenzako?...Niggah watu wamepambana wameoa na we unakula bila wasi!...

Eti kataka mwenyewe!! ni upuuzi akili zako haziwezi kuwa sawa na mwanamke, wanaokula wake za watu huwa natamani tu waliwe.ndo adhabu inayowafaa
 
Habari kuu , mchana huu.

Watoto wa kiswahili wanakwambia mke wa mtu hatongozwi.

Ukikutanisha nae macho tu tayari 😀😀😀

Sasa yupo mama mmoja tumezoeana sana...na ndo mbinu yangu ya kuwala majimama, sitongozi ni story tu then naomba mzigo....utaskia unawezaaa! Usije ukakimbia aah.. jimama likikwambia hivyo we jipige kifua bas linakupa mzigo.

Basi huyu mdada ambaye ni mmama na mke wa mtu baada ya kunizoea kidogo na story kadhaa. Ameanza kunionesha kivitendo kuwa ananitaka.

Changamoto ni sio mrembo, ingawaje akinisogelea tu...mb.... inadi...a. kuliko kawaida.

Nipo natafakari kwa kina kwamba huyu mke wa mtu nikimuita lodge namfukua mtaro aaaah dadeki zao wake za watu.

NB : Usile mke wa mtu bila kumfukua mtaro.
Broo kuna DHAMBI nyingine sio zakutangaza.
 
Acha mazoea na mke wa mtu Mkuu, ishinde tamaa kulinda heshima ya Mwanaume mwenzio
Nakubali,nimejifunza the hardway hili swala mkuu,iliwahi kunitokea shida kazini miaka flani huko nyuma,mume alikuja kunireport ofisini kwangu Kwamba natembea na mkewe,asee bila hekima ya bosi wangu nadhani si kupoteza kazi tu Bali ningefedheheka kabisa hata na ukoo wangu mzima,Mungu atupe nguvu vijana!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom