Mke wa mtu ananitaka

Mke wa mtu ananitaka

Habari kuu , mchana huu.

Watoto wa kiswahili wanakwambia mke wa mtu hatongozwi.

Ukikutanisha nae macho tu tayari 😀😀😀

Sasa yupo mama mmoja tumezoeana sana...na ndo mbinu yangu ya kuwala majimama, sitongozi ni story tu then naomba mzigo....utaskia unawezaaa! Usije ukakimbia aah.. jimama likikwambia hivyo we jipige kifua bas linakupa mzigo.

Basi huyu mdada ambaye ni mmama na mke wa mtu baada ya kunizoea kidogo na story kadhaa. Ameanza kunionesha kivitendo kuwa ananitaka.

Changamoto ni sio mrembo, ingawaje akinisogelea tu...mb.... inadi...a. kuliko kawaida.

Nipo natafakari kwa kina kwamba huyu mke wa mtu nikimuita lodge namfukua mtaro aaaah dadeki zao wake za watu.

NB : Usile mke wa mtu bila kumfukua mtaro.
Uwe unatembea na Parachute mfukoni ili uwarahisishie kazi ya kula kiboga.
 
Kula mke wa mtu sio sifa.
Utakuja kupakatwa bila kilainishi.
Miaka ya 2020 kulikua na kijana maeneo ya mbezi mwisho anaitwa Omari Jenga, alikua anatembea na mke wa sheikh mmoja malamba mawili. Yule sheikh alimuonya Mara kibao yule kijana lakini hakusikia. Siku ya siku alitafunwa mbaya zaidi sheikh alikodi mateja wa pale jangwani akawanunulia viroba tu wadau wakamalizia ugwadu wao kwa jamaa pale Lubumbashi.
Achana na mke wa mtu!
 
Mzee kitabu chako hakina ile sheria ya kutokula mke wa mwanaume mwenzako?...Niggah watu wamepambana wameoa na we unakula bila wasi!...

Eti kataka mwenyewe!! ni upuuzi akili zako haziwezi kuwa sawa na mwanamke, wanaokula wake za watu huwa natamani tu waliwe.ndo adhabu inayowafaa

Umeandika kwa uchungu tajiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom