Maurice Moore
Senior Member
- Aug 22, 2018
- 189
- 310
Wewe ungetolewa ungekuwepo? Acha Mtoto nae aje ale pesa za Kikokotooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tatizo huyu dada yupo kwa mumewe na mumewe hajampa haki yake ana muda hivi.
Sasa tunaachaje azaliwe huyo mtoto aisee...?
Umemshauri vizuri kabisaKutoa ni hatari sana wala sikushauri mtu mzima kufanya jambo hilo. Inabidi tu mpambane na hali yenu baada ya matokeo. Kama mume hakumpa haki muda mrefu basi asimlaumu sana huyo dada kwa kuchepuka maana hata yeye atakuwa anatimiza haja zake kwingine. Amueleze mumewe ukweli na wewe usimtelekeze endapo ataachika.
Zaeni mlee mtoto wenu kwa mapenzi. Huwezi jua mmoja wenu au wote mnaweza msijaliwe tena kupata mtoto mbeleni.
Haa ha ha, we jamaa umefikiria nini hadi ukahusisha na kikokotoo!? Si ungesema hata "ELIMU BURE?"Wewe ungetolewa ungekuwepo? Acha Mtoto nae aje ale pesa za Kikokotooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje kama kweli hamegwi na mume wake? Maneno ya kuambiwa sio ya kuamini 100%. Mambo yapo hivi:-Hajamegwa muda na mumewe itakuaje mtoto wa mumewe mkuu...?
mkuu na wewe huendi mbinguni umechangia dhambii
ukimruka anakurogaKumpa mumewe haiwezekani kwa sababu hawana mahusiano na anavyodai wamekwazana muda kidogo jamaa hajala mzigo sasa hawezi kumwambia ana mimba yake mkuu.
Hilo la kumruka nafikiri ndio linaloenda kufanyika kwa sababu hakuna namna kiongozi wangu.
Mimi ni pro-abotion... Mtu ana haki maamuzi na hukumu atapata sawasawa na maamuzi yake.Acha kumrubuni.Kiumbe kina kosa gani Hakuna kutoaaa.Mtoto ana haki ya kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje kama kweli hamegwi na mume wake? Maneno ya kuambiwa sio ya kuamini 100%. Mambo yapo hivi:-
Kutoa mimba ni dhambi na sio hivyo tu, huyo mwanamke anaweza kupata madhara kiafya.
Kumbambikia mume wake pia sio issue ķwa sababu siku akigundua anaweza kumzuru huyo mwanamke pamoja na mtoto.
Swala la msingi hapo inabidi huyo mwanamke aondoke hapo kwa sababu, sababu za kuondoka tayari anazo kama ulivyo ainisha kwenye mada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa tu umeikariri hiyo dawa unaona ni sawa tu kumtajia huyu mleta mada??!!..
Pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa ha ha, we jamaa umefikiria nini hadi ukahusisha na kikokotoo!? Si ungesema hata "ELIMU BURE?"
Unajuaje kama kweli hamegwi na mume wake? Maneno ya kuambiwa sio ya kuamini 100%. Mambo yapo hivi:-
Kutoa mimba ni dhambi na sio hivyo tu, huyo mwanamke anaweza kupata madhara kiafya.
Kumbambikia mume wake pia sio issue ķwa sababu siku akigundua anaweza kumzuru huyo mwanamke pamoja na mtoto.
Swala la msingi hapo inabidi huyo mwanamke aondoke hapo kwa sababu, sababu za kuondoka tayari anazo kama ulivyo ainisha kwenye mada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vyema kabisa. Hiyo ndio option kidogo yenye afadhali. Pia hili swala inabidi liwe somo kwetu sote. Kama mtu mmeshindwana mwache aendeAu aombe Talaka.Mana Hata mahakamani akisema mume hataki kunipa unyumba kwa muda mrefu Ni sababu kuu ya kutoa Talaka.Mana ya ndoa Ni nini Sasa kama hampi?Na labda kama anakaa hapo sababu ya Mali Mana wanawake tuna akili fupi sometimes MTU unaona kabisa hakupendi tena umeganda kisa ana Mali.Aiseee hup Ni ujinga Kwani wewe au ukiwa Na MTU mwingine huwezi kuzitafuta?? Mwisho Ndo visa mume amuua mke. Ukiona penzi limeisha bora uangalie Njia ya kutoka au vumilia but usichepuke.Madhara Ndo kama hayo.Unapata mimba Halafu hujui Hata u afanyaje.(Let say akaenda kutoa akafa watatrace chanzo Na mhusika mtakuwa matatizoni sana hasa kwa mume.So decide wisely.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vyema kabisa. Hiyo ndio option kidogo yenye afadhali. Pia hili swala inabidi liwe somo kwetu sote. Kama mtu mmeshindwana mwache aende
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo murua kabisaaWewe ni kati wa wapumbavu wa mwaka huu 2019, hakuna mke wa mtu mwenye mimba ya mtu mwingine, unadanganywa kijinga sana wewe, hivi una akili hata kidogo? nilishawahi sema Malaya wote wake za watu husema waume zao hawawapi ili kuficha umalaya wake kwako, kalagabaho limbukeni wa wanawake