fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
mimba iwe yako au sio yako mtoto ni wa mume wa huo mchepuko wako,we pakua tu mzigo acha kelele
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Shamba umeliandaa mwenyewe, ukakata miti, ukang'oa visiki, ukachoma! Ukalima, ukapanda mbegu, zikaota, sasa hutaki kuvuna mazao!! Mimi sijakielewa kabisaaa!!!!Kwanza kabisa jamani nawasalimu.
Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.
Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.
Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.
Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.
Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.
Msaada wenu tafadhali wakuu.
Ahsanteni sana.
Umefungulia comments vizuri sana.
Mbali na hilo kwann akubali kutembea na mke wa MTU?
Halaf anakuja huku anataka tumpe mbinu za kuua kiumbe ambae hana hatia. Jinga kabisa hajielewi
Sent using Jamii Forums mobile app
mpaka ufir****** ndo utaacha... mbona visungura pori vimejaa bro......acha kabisa...ni ushauri tuu...sikulazimishiMkuu mumewe hamtimizii haja zake za kimsingi inavyotakiwa ndo mana mkuu.
Asante sana kiongozi. Huduma zao zinakuaje mkuu...?
umemuuliza mumewe kama uliyoambiwa na mkewe ni ya kweli au unataka kujustify your sinsNi kweli alimuhisi kuwa ana mwanamke sehemu nyingine ndio mana akirudi hamfanyi chochote ni muda mref sasa.
Ila kumueleza hataweza coz hawezi kumuelewa hata kidogo na ndio itakuwa sababu ya kufukuzwa hapo nyumbani mkuu.
Pokea ushauri. Acha ujinga. Hakuna mke wa mtu mwenye ujauzito usio wa mmewe labda ameachika. Wanawake malaya hutafuta malaya wa kiume wawaambie kuwa hatoshelezwi ili tu wazini kadrio pepo wao anavyotaka kingine wanaume wapumbavu huliwa pesa zao kwa kutunza mimba za wake za watu sasa sikia
"Kibarua hajawahi kumiliki shamba alilolima kibarua"
Sent using Jamii Forums mobile app
umemuuliza mumewe kama uliyoambiwa na mkewe ni ya kweli au unataka kujustify your sins
senior bachelor bro.....wala sina presha......nalea vijana wangu...we hangaika tuuuMbona una harsh words hivyo na wee unagongewa nini aisee. Hahah.
kwani una mtihani gani hapo, wakati mwanamke yupo kwa mume wake..! Acha ubwege dogo....Mkuu punguza ukali wa maneno aisee.
Sijajua kweli kama ni yangu au sio yangu ila kwa maelezo yake anasema ni yangu mkuu.
Na ndio maana nikaleta jamvini hapa ili nipate mawazo yenu wakuu. Msinishambulie bwana angalieni njia sahihi ya kunisaidia kwa huu mtihani wakuu.
Sasa kwa nini aseme tukaitoe kama ni ya mume wake mkuu...?
Hilo la kumruka nafikiri ndio linaloenda kufanyika kwa sababu hakuna namna kiongozi wangu.
Kwanini useme bahati mbaya amepata ujauzito, bahati mbaya inatokea wapi? Ukila ni lazima ushibe..Usemacho ni kweli kabisa ila sasa baraka hii ipo kinyume nyume mkuu.
Anadai mumewe wamekwazana muda tu na hajamgusa muda mref sana mkuu.