Mke wa mtu ana mzigo wangu jamani

Mke wa mtu ana mzigo wangu jamani

Mkuu mtu hupewa kwa kadri ya haja ya nafsi yake, kwa kuwa nafsi yako inataka dawa hata tukusaidie, tafuta hii inayoitwa MISOPROSTOL Kitakachofuata ni wewe na Mungu wako ila MBINGUNI hauendi man.
Kisa tu umeikariri hiyo dawa unaona ni sawa tu kumtajia huyu mleta mada??!!..

Pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua mfano hu, ulikua unakweda zako shambani kwako ( shamba liwe la kwako au la kukodi) kwa bahati mbaya baadhi ya mbegu ulizokua nazo kwenye mfuko zikadondokea kwenye shamba la mtu mwingine na baadae zikaota ( may be aina ya mbegu zako na zile zilizo pandwa na mwenye shamba zina utofauti) unadhani mazao hayo yakikomaa unaweza kwenda kudai na kusema ni YAKO ilihali yameota kwenye shamba la mwingine!?

Mkuu ni ngumu kwenda kudai ila shamba na mimba ni tofauti mkuu.

Na pia mimi sitahitaji kudai hiko kitakachoota kwenye shamba la mwengine ila tatizo yee mwenyewe haitaki mkuu.
 
Kama hujaoa si ndo safi mzee,,hapo akipewa talaka unahamishia kwako mzigo au ulikuwa unat**ba tu huna malengo nae.
#Next time acha tamaa na wake za watu utapigwa dyudyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtu hupewa kwa kadri ya haja ya nafsi yake, kwa kuwa nafsi yako inataka dawa hata tukusaidie, tafuta hii inayoitwa MISOPROSTOL Kitakachofuata ni wewe na Mungu wako ila MBINGUNI hauendi man.

Mkuu heshima sana kwako kiongozi. Nashkuru sana bro.

Ya mwezi mmoja inatoa bila ya wasi hii dawa mkuu...?
 
Usemacho ni kweli kabisa ila sasa baraka hii ipo kinyume nyume mkuu.

Anadai mumewe wamekwazana muda tu na hajamgusa muda mref sana mkuu.
Hakuna cha is baraka iko kinyume nyume ww ndo unasema hivo but kwa mungu no...huyo mtoto ana hatia gan??mwacheni huyo kiumbe hana makosa..alafu mwnaume kweli hutaki mtoto duuh...nenda ukatubu kwa hilo alafu msimtoe huyo mtoto hana hatia...
 
Hivi wewe kaka una akili sawa sawa kwelii et unashukuru kabisa kupewa dawa ya kutoa??!u must be out of ur senses.....daaah aiseeey mungu tusamehe jamani..naumia kama ni mimi

Kwa hiyo tuiache ili azae halaf mumewe inakuaje mkuu...?
 
Hiyo ndio madhara ya zinaa,ulikuwa unaona raha,ukajiona unafaidi,tena unajificha hutaki kumwambia mtu yoyote,leo yamekukuta unamwaga mambo hadharani,kweli shetani hana maana...

Kuteleza sio kuanguka mkuu.
 
Back
Top Bottom