Mke wa mtu ana mzigo wangu jamani

Mke wa mtu ana mzigo wangu jamani

Mkuu punguza ukali wa maneno aisee.

Sijajua kweli kama ni yangu au sio yangu ila kwa maelezo yake anasema ni yangu mkuu.

Na ndio maana nikaleta jamvini hapa ili nipate mawazo yenu wakuu. Msinishambulie bwana angalieni njia sahihi ya kunisaidia kwa huu mtihani wakuu.

Sasa kwa nini aseme tukaitoe kama ni ya mume wake mkuu...?
Kaa kwa kutulia kondom zilikuwa nyingi tu ukaamua kwenda dry kitu kikanasa.
Ushauri wangu mwache mimba ikue ajifungue kisha lea mtt wako ukitoa bado haitabadilisha maana .
N.b
Mumw wake akijua jiandae kwa haya.
1.akuachie mke moja kwa moja (hapa shukuru mungu).
2.akutafute na kisha akufanye kitu kibaya(hii ina chance kubwa ya kutokea).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha is baraka iko kinyume nyume ww ndo unasema hivo but kwa mungu no...huyo mtoto ana hatia gan??mwacheni huyo kiumbe hana makosa..alafu mwnaume kweli hutaki mtoto duuh...nenda ukatubu kwa hilo alafu msimtoe huyo mtoto hana hatia...

Sio kwamba sitaki mtoto angalia kwanza mazingira aliyokuwepo huyo mwanamke halaf ndo uongee mkuu.

Analeaje mimba ya mtu mwengine mbele ya mumewe halaf mtoto ampeleke kwengine inawezekana vipi hiyo mkuu...?
 
Kaa kwa kutulia kondom zilikuwa nyingi tu ukaamua kwenda dry kitu kikanasa.
Ushauri wangu mwache mimba ikue ajifungue kisha lea mtt wako ukitoa bado haitabadilisha maana .
N.b
Mumw wake akijua jiandae kwa haya.
1.akuachie mke moja kwa moja (hapa shukuru mungu).
2.akutafute na kisha akufanye kitu kibaya(hii ina chance kubwa ya kutokea).

Sent using Jamii Forums mobile app
shida siyo condom kuwa nayo unaweza kuwa nazo shida kuzivaa mkuu
 
Kaa kwa kutulia kondom zilikuwa nyingi tu ukaamua kwenda dry kitu kikanasa.
Ushauri wangu mwache mimba ikue ajifungue kisha lea mtt wako ukitoa bado haitabadilisha maana .
N.b
Mumw wake akijua jiandae kwa haya.
1.akuachie mke moja kwa moja (hapa shukuru mungu).
2.akutafute na kisha akufanye kitu kibaya(hii ina chance kubwa ya kutokea).

Sent using Jamii Forums mobile app

Daaah, hiyo namba mbili aisee umenishtua kidogo halaf mbaya zaidi nimemuonesha huyo mwanamke mpaka ninapokaa aisee.

Ndio mana nataka tuitoe kiongozi. Acha tu mkuu.
 
Wewe ni kati wa wapumbavu wa mwaka huu 2019, hakuna mke wa mtu mwenye mimba ya mtu mwingine, unadanganywa kijinga sana wewe, hivi una akili hata kidogo? nilishawahi sema Malaya wote wake za watu husema waume zao hawawapi ili kuficha umalaya wake kwako, kalagabaho limbukeni wa wanawake
Aisee ninacheka cheko zito la kiume.
 
Kwanza kabisa jamani nawasalimu.

Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.

Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.

Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.

Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.

Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.

Msaada wenu tafadhali wakuu.

Ahsanteni sana.
Hizi post ni ujinga mtupu sasa mke wa mtu anakuambia hivyo nawe unaamini. Una shida kubwa ama utakuwa wewe ni mwanafunzi upo likizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetuomba ushauri wakati mnaanza kumendeana ingekuwa busala zaidi kuliko unakuja kutushirikisha wakati wa matokeo yenu ya kumendeana.WE PAMBANA TU KITAELEWEKA MBELE KWA MBELE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kati wa wapumbavu wa mwaka huu 2019, hakuna mke wa mtu mwenye mimba ya mtu mwingine, unadanganywa kijinga sana wewe, hivi una akili hata kidogo? nilishawahi sema Malaya wote wake za watu husema waume zao hawawapi ili kuficha umalaya wake kwako, kalagabaho limbukeni wa wanawake

nitafute mkuu nkupe jpo ya soda

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanza kabisa jamani nawasalimu.

Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.

Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.

Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.

Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.

Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.

Msaada wenu tafadhali wakuu.

Ahsanteni sana.
Leeni ujauzito mtoto azaliwe mkuu ..kitanda hakizai haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom