Mke wa mtu ana mzigo wangu jamani

Mke wa mtu ana mzigo wangu jamani

Kwanza kabisa jamani nawasalimu.

Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.

Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.

Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.

Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.

Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.

Msaada wenu tafadhali wakuu.

Ahsanteni sana.
YAANI UNAOMBA MSAADA WA KUSAIDIWA DHAMBI YA KUUUA ILI WOTE TUWE TUMEUA PAMOJA NA WEWE BAADA YA KUFANYA DHAMBI NYINGINE YA KUTAMANI MWANAMKE ASIE MKE WAKO NA KUZINI, PIA WIZI NA UONGO HAVIKOSEKANI.. ULAANIWE KAMA UTASHIRIKI KUTOA AU KUSHINDWA KUZUIA KIUMBE HUCHO KISITOLEWE MUNGU AKUSAIDIE USIINGIE KWENYE HIYO DHAMBI
 
Muulize alikwenda nae kumpima??Ukute anatengenezewa mazingira ya kupigwa pesa ya kutolea kumbe sio

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuhusu kupima amepima mwenyewe na amesema yupo tayari hata twende wote tukapime pamoja ili nihakikishe yupo tayari kwa hilo mkuu.

Ingekuwa sio kweli asingekubali hiko kitu kiongozi.
 
YAANI UNAOMBA MSAADA WA KUSAIDIWA DHAMBI YA KUUUA ILI WOTE TUWE TUMEUA PAMOJA NA WEWE BAADA YA KUFANYA DHAMBI NYINGINE YA KUTAMANI MWANAMKE ASIE MKE WAKO NA KUZINI, PIA WIZI NA UONGO HAVIKOSEKANI.. ULAANIWE KAMA UTASHIRIKI KUTOA AU KUSHINDWA KUZUIA KIUMBE HUCHO KISITOLEWE MUNGU AKUSAIDIE USIINGIE KWENYE HIYO DHAMBI

Amin mkuu nami naomba hiko kitu kisitokee kiongozi wangu.
 
Hapo wewe huna mitihani kwani huyo ni mke wa mtu; kitanda hakizai haramu!!! Kama ametunga mimba hiyo mimba ya mumewe!! Huyo malaya ni mjanja tu amekuona wewe bwege anataka ulee mimba !!!

Nimeshaanza kumkataa mkuu.
 
Kumpa mumewe haiwezekani kwa sababu hawana mahusiano na anavyodai wamekwazana muda kidogo jamaa hajala mzigo sasa hawezi kumwambia ana mimba yake mkuu.

Hilo la kumruka nafikiri ndio linaloenda kufanyika kwa sababu hakuna namna kiongozi wangu.
Shame shame
 
Kwanza kabisa jamani nawasalimu.

Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.

Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.

Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.

Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.

Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.

Msaada wenu tafadhali wakuu.

Ahsanteni sana.
wewe na huyo dada wote ni wauwaji, kipind mafukunyuana, nn mlitegemea.. hiyo ni faida mlioipata ktk biashara mlioifanya, shughulika nayo mkuu no way!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe na huyo dada wote ni wauwaji, kipind mafukunyuana, nn mlitegemea.. hiyo ni faida mlioipata ktk biashara mlioifanya, shughulika nayo mkuu no way!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa ni hatari sana wala sikushauri mtu mzima kufanya jambo hilo. Inabidi tu mpambane na hali yenu baada ya matokeo. Kama mume hakumpa haki muda mrefu basi asimlaumu sana huyo dada kwa kuchepuka maana hata yeye atakuwa anatimiza haja zake kwingine. Amueleze mumewe ukweli na wewe usimtelekeze endapo ataachika.
Zaeni mlee mtoto wenu kwa mapenzi. Huwezi jua mmoja wenu au wote mnaweza msijaliwe tena kupata mtoto mbeleni.
 
Kwanza kabisa jamani nawasalimu.

Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.

Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.

Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.

Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.

Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.

Msaada wenu tafadhali wakuu.

Ahsanteni sana.
Kama huo ni mzigo wako uliupelekaje? Mtafute mmewe ili akuwekee mzigo wako kupitia mtandao wa tigopesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoa ni hatari sana wala sikushauri mtu mzima kufanya jambo hilo. Inabidi tu mpambane na hali yenu baada ya matokeo. Kama mume hakumpa haki muda mrefu basi asimlaumu sana huyo dada kwa kuchepuka maana hata yeye atakuwa anatimiza haja zake kwingine. Amueleze mumewe ukweli na wewe usimtelekeze endapo ataachika.
Zaeni mlee mtoto wenu kwa mapenzi. Huwezi jua mmoja wenu au wote mnaweza msijaliwe tena kupata mtoto mbeleni.

Ni kweli alimuhisi kuwa ana mwanamke sehemu nyingine ndio mana akirudi hamfanyi chochote ni muda mref sasa.

Ila kumueleza hataweza coz hawezi kumuelewa hata kidogo na ndio itakuwa sababu ya kufukuzwa hapo nyumbani mkuu.
 
Wewe ni kati wa wapumbavu wa mwaka huu 2019, hakuna mke wa mtu mwenye mimba ya mtu mwingine, unadanganywa kijinga sana wewe, hivi una akili hata kidogo? nilishawahi sema Malaya wote wake za watu husema waume zao hawawapi ili kuficha umalaya wake kwako, kalagabaho limbukeni wa wanawake
Umefungulia comments vizuri sana.
Mbali na hilo kwann akubali kutembea na mke wa MTU?
Halaf anakuja huku anataka tumpe mbinu za kuua kiumbe ambae hana hatia. Jinga kabisa hajielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom