Mke wa mtu ana mzigo wangu jamani

Mke wa mtu ana mzigo wangu jamani

Mkuu punguza ukali wa maneno aisee.

Sijajua kweli kama ni yangu au sio yangu ila kwa maelezo yake anasema ni yangu mkuu.

Na ndio maana nikaleta jamvini hapa ili nipate mawazo yenu wakuu. Msinishambulie bwana angalieni njia sahihi ya kunisaidia kwa huu mtihani wakuu.

Sasa kwa nini aseme tukaitoe kama ni ya mume wake mkuu...?
Ukisha-solve hili,usirudie kutembea na wake za watu,ni nuksi kubwa unajipaka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo tuiache ili azae halaf mumewe inakuaje mkuu...?
Sasa mtoto ana hatia gani??mbele ya mungu mtaenda kujibu NN??kwahyo ww unachunga sana ndoa yake kuliko kiumbe chako??what matters the most??tafuta soln but co kuua kiumbe ambacho hakina hatia?!kuna soln nyng sana apo...either amshawish mme wake wa do then amwambie ni yake megne yatajulkna mbele ya safar au na yye aonee uchungu kiumbe chake akubal kuna kuachwa coz mme hamjali...fanya maamuz magumu yeyote lkn sio kuua hicho kiumbe hakina hatia..
 
Yote
Sio kwamba sitaki mtoto angalia kwanza mazingira aliyokuwepo huyo mwanamke halaf ndo uongee mkuu.

Analeaje mimba ya mtu mwengine mbele ya mumewe halaf mtoto ampeleke kwengine inawezekana vipi hiyo mkuu...?
Yote yanawezakana apo..ushasema mume wake amshawaishi kwa vyovyote vile wa do ambambikizie...mtoto akue mengn yatajulikana..ww unajal nini kiumbe chako au ndoa yake...angekuwa anaheshimu ndoa yake angechepuka kwa akili...think big brother...mimi nimeumia sana unavyoshadadia dawa ya kwenda kuua kiumbe...aiseey
 
Sasa mtoto ana hatia gani??mbele ya mungu mtaenda kujibu NN??kwahyo ww unachunga sana ndoa yake kuliko kiumbe chako??what matters the most??tafuta soln but co kuua kiumbe ambacho hakina hatia?!kuna soln nyng sana apo...either amshawish mme wake wa do then amwambie ni yake megne yatajulkna mbele ya safar au na yye aonee uchungu kiumbe chake akubal kuna kuachwa coz mme hamjali...fanya maamuz magumu yeyote lkn sio kuua hicho kiumbe hakina hatia..

Daaah mtihani sana aisee.
 
Siku mumewe akijua UTAPATA TAABU SANA, hata baada ya mtoto kuzaliwa utaipata pata ngumu kumeza.

Acha mchezo na wake za watu, utaumia na utajuta.
Kwanza kabisa jamani nawasalimu.

Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.

Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.

Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.

Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.

Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.

Msaada wenu tafadhali wakuu.

Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati mnafanya tena bila kutumia kinga na bado anakwambia mwagia ndani matoeko ulikuwa hujui yatakuaje,,mwambie azae.
 
Kwanza kabisa jamani nawasalimu.

Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.

Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.

Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.

Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.

Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.

Msaada wenu tafadhali wakuu.

Ahsanteni sana.
Yaani wewe ni zaidi ya shamba la maembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto ni baraka mkuu, kunawaopanda ndege kwenda kutafuta mtoto maabara.

Huyo malaya hataki kuzaa / mtoto na kwa maelezo hayo maana yake ni kwamba anataka kuitoa hiyo mimba wakati kutoa mimba inahitaji pesa kubwa ya kutoa surgically au less money kuitoa medically, ingekuwa mie huyo ndio kaniaga milele amina.
 
Una maana gani unaposema surgically na medically kiongozi wangu...?
 
Kwanza kabisa jamani nawasalimu.

Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu kutokana na sababu za kuwa mumewe hamjali kwa lolote lile.

Huyu dada tumeshakutana kimwili kwa mara kadhaa ila bahati mbaya jana amenipigia akisema haoni siku zake, ambapo kikawaida alitakiwa kupata tarehe 23-25 lakini mpaka tarehe 28 jana hakuona kitu.

Sasa nikamshauri apime kwanza ili ajue labda mzunguko umebadilika. Leo ameenda hospitali kapima kakuta ana ujauzito, kwa madai yake ni kuwa mumewe hana habari nae kabisa na wala hampi haki yake kiasi kwamba amejikuta akitafuta mtu wa nje amshughulikie.

Sasa mpaka leo hii ananiuliza nafanyaje sasa na mume wangu hajanigusa nna muda akirudi hana habari na mimi, hataki kuzaa.

Naulizia tunaweza kutumia dawa gani ili aweze kuutoa huu mzigo kwa sababu tayari una mwezi mmoja wakuu.

Msaada wenu tafadhali wakuu.

Ahsanteni sana.
Wewe siku zote hizo unakula mke wa mtu halafu upo hapa JF bila hata kuleta mrejesho wa Mgegedo, una roho mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni ngumu kwenda kudai ila shamba na mimba ni tofauti mkuu.

Na pia mimi sitahitaji kudai hiko kitakachoota kwenye shamba la mwengine ila tatizo yee mwenyewe haitaki mkuu.
Mwambie hivi, "baby, we si ni mke wa mtu"? Then mfano wa mbegu na shamba la watu na mpandaji kwenye shamba la watu ndipo unapo kaa
 
Wewe ungetolewa ungekuwepo? Acha Mtoto nae aje ale pesa za Kikokotooo

Back
Top Bottom