Chenza mkuuMgosi kwenye hiyo Avatar hicho ni kitu gani?
kwa kweli agy naomba nkwambie nakupenda sanaAtoroshwe ye mtoto????...Ana akili zake timamu na mtu mzima..Sema kamtoroka mume wake!
Na akirudi mume amchape makofi ya maana hadi aseme alikua wapi! wanawake wengine hawajui kuridhika!
really??basi asante mbuzi na kuku🙂🙂kwa kweli agy naomba nkwambie nakupenda sana
Hiyo ndiyo kazi ya mitandao ya kijamii siku hizi!HERI YA PASAKA
Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo.
Kiukweli inaniuma, hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau hata ale lakini imeshindikana.
Duu wanawake mna roho mbaya kinoma!
Avatar yako hii sio papuchi hii?Na yeye atoroke tu amna namna
naomba niwe rafki yako aggyreally??basi asante mbuzi na kuku🙂🙂
karibunaomba niwe rafki yako aggy
asante sana aggykaribu
We ni jipu vilevile. Kama hamjampa mahitaji ataendelea kutoroshwa na kwa vile hamjitambui akirudi mtampokea. Mara ijayo mtamsindikiza wenyewe kwa wanaomtosheleza mahitaji ya mwili na roho. Kaseme haya maneno kwa huyo msela wako maana wasiwasi wangu hawezi access jfHERI YA PASAKA
Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo.
Kiukweli inaniuma, hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau hata ale lakini imeshindikana.
Duu wanawake mna roho mbaya kinoma!
Apana mkuu ilo ni chenzaAvatar yako hii sio papuchi hii?
Pole sanaHERI YA PASAKA
Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo.
Kiukweli inaniuma, hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau hata ale lakini imeshindikana.
Duu wanawake mna roho mbaya kinoma!
HahahaHakuna mwanaume wa kutorosha mke these days
huyo kaazimwa tu kwa sikukuu
jumanne mkewe atarudi apunguze presha....
siku hizi wanawake hawatoroshwi...wanaondoka wenyewe na kurudi
HahahaAtoroshwe ye mtoto????...Ana akili zake timamu na mtu mzima..Sema kamtoroka mume wake!
Na akirudi mume amchape makofi ya maana hadi aseme alikua wapi! wanawake wengine hawajui kuridhika!