PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,151
HahahaMwambie rafiki yako akuoe wewe sasa.maana hakuna namna.
HahahaMwambie rafiki yako akuoe wewe sasa.maana hakuna namna.
'Kiukweli inaniuma',...HERI YA PASAKA
Leo rafiki yangu siku ya leo imemuanza vibaya baada mkewe waliozaa nae watoto wawili kutoroshwa na jamaa mwingine na kuachiwa watoto bado wadogo.
Kiukweli inaniuma, hapa najaribu kumtuliza jamaa angalau hata ale lakini imeshindikana.
Duu wanawake mna roho mbaya kinoma!