Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Kumekucha
Alisema chuma cha mjerumani oyeee
Tukasubiri Makonda ajibu mapigo.
Haya kwako Gambo🎤
 
Kwa mwendo huu Cku c nyingi tutamuongeza muokota makopo mwingine mjini
 
Yaani ukiwa kitaa Arusha hakuna anayemsema vizuri Gambo, yaani Gambo anagundu hata mke wake. In short Gambo ni mjinga kukubali kuingia vita na Makonda, alipaswa a play low profile kwa sababu Makonda was already damaged, ila ujinga wake Gambo anaropoka ropoka halafu kibaya Gambo hana uwezo wa kujenga hoja in short ana upungufu wa hekima na hajui kabisa kuongea. Sura yake imejaa ukatili na dharau
 
Acha wavurugane
 
kwani huyo mama aliomba kazi ya ualimu au uafisa elimu mambo mengine ni ujinga ujinga tu huyo makonda ni mshamba kwahiyo anaona amemkomoa siyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…