kanisa siwez kutaja kwa sabab ya kuleta matatizo ktk familia mkuu
Kamfanye...
mahir uwe msikiv kidogo mana huenda ninakusaidia kama ningetaka ningeshangonga siku nyingi mana ananisikiliza mim ninacho sema
Nitakupata tu baba!
hapana kaka unajua upelelez unabidi uwe mpole kidogo kwa sabab mim namjua ila sikuamin nilitaka kuona kweli ni mke wa mchungaji? ndio mana nilienda kanisan siyo nyumbani kiukweli kama ni kosa la kukubali nimelifanya nakir hilo
mimi ni ke bana, humu jf tunaitana "mkuu"! Ila we mpotezee huyo atakuletea shida mke wa mtu huyo angalia sn