maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,806
- 2,349
- Thread starter
- #21
Endelea kukataa, akiendelea kukusumbua mwambie mumewe na mpange nae jinsi ya kumfumania ukiwa naye....ila kuwa mwangalifu isije ikabackfire...vinginevyo mwambie una kifua kikuu na uko kwenye dozi....ila kama una nia ya dhati ya kumwacha hutashindwa...au na wewe ndio wale sitaki nataka????? Angalia Mke wa mtu sumu!
mke wa mtu sumu kweli ila kutaka mawazo yenu