Wakulu tujihadhari na paka aliyevaa tasbii ya dagaa ili kutuzuga kwamba sasa hakamati panya!
Tunataka hao maaskofu watoe tamko juu ya kile kiwanja cha kanisa aichokipora muheshimiwa kule Mbezi Beach alipokuwa Ardhi!
Akizunmgumza katika hafla hiyo, Lowassa mwenyewe alisema baada ya kupata matatizo nayo, yeye na familia yake waliamua kumgeukia Mungu na kwamba ndio maana wakaamua kwenda Israel kutembelea maeneo takatifu.[/COLOR]
Hongera kwa kumgeukia Mungu, lakini imeandikwa "Anayetaka kunifuata ajikane nafsi yake, abebe msalaba wake na kunifuata." usipofanya hivyo, unaweza kuwa umegeuka upande wa Mungu lakini haujamuona
Mkuu ayakane mabilioni hayo thubutu....mtamsubili sana mzee nywele nyeupe.
Unanikumbusha andiko jingine mkuu... 'Jinsi ilivyo vigumu kwa tajiri kuingia mbinguni....'
Pg 15 maaskofu nchi nzima kuisafisha familia chafu.
Huu sasa ni uonevu! Unataka aandike pg 2? Kurasa 15, ndizo ameweza kuandika kutoka kwa hali halisi iliyomkumba! Ataandika kuhusu majengo na kanisa!labda huyu mwanamke angutueleza msimamo wake kuhusiana na ISRAEL's occupation of Palestine
Breaking News.
Tuachane kidogo na habari hiyo. Kama kawaida mzee wa pangua pangua kapangua wakuu wa Mikoa. Monica Mbega anakwenda Kilimanjaro kutoka Ruvuma na Dr. Ishengoma anakwenda Ruvuma toka Pwani. Hajjat Amina M. Saidi Iringa to Pwani na Bw. Abulazizi from Tanga to Iringa.