Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

Mkuu huyo mke wa kaka yako hamnazo, anatakaje kuliwa na wewe shemejie kama ni genye si bora angeenda huko mbali jamanii. au ndo kashaukwaa anataka kuwaangamiza wote?
 
sio poa cha msingi mshauri shemej yako aongee na mumewe...pia wew unatakiwa kusema na kaka ako kwan unaweza fanya hivo mwishoe shemej aanze kumdharau mumewe afu ikawa dhambi hata kwa mungu...kama unaham tafuta wako usile makombo ya kaka ako.
 
Ww sio muombaji ushaur na itakua unamlia kaka yako ila yatakukuta tu na usije ukaombwa ww na hiyo BRN yako
 
Mke wa kaka yangu (jina kapuni) ananitaka nimtimizie haja zake kimapenzi. Maana anadai bro ameendekeza ulevi sana hata hana hamu nae.

Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki kutoka nje ya ukoo ili tusipoteze kizazi. Hata ikitokea broo amekufa mimi ndio nitamrithi shemeji kama mumewe.

Nakuahidi shemeji nitakupa mambo adimu na style kibao za maana ikiwemo BRN.

Jitahidi umtigolize kaka
 
yaani hiyo ndo asante unampa kaka yako!! kakutoa porini amekuleta mjini,,, hapa anahangaika kukutafutia kazi acha chakula na malazi unayokula kwake ukapata nyege...ukaona ni kheri umrudishie kwa kumlala shemeji yako.......endelea tu braza ni mazuri sana na yanaruhusiwa tumia mpaka NBR kabisa.....wacha BRN....bazazii wewe...
 
uyo mke si ndugu yako,epuka kugombana na kaka yako ambae ni ndugu sababu tu ya mwanamke,wanawake wapo wengi,tafuta mwngne,kama una macho umeelewa maandishi haya:A S 576:
 
Mke wa kaka yangu (jina kapuni) ananitaka nimtimizie haja zake kimapenzi. Maana anadai bro ameendekeza ulevi sana hata hana hamu nae.

Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki kutoka nje ya ukoo ili tusipoteze kizazi. Hata ikitokea broo amekufa mimi ndio nitamrithi shemeji kama mumewe.

Nakuahidi shemeji nitakupa mambo adimu na style kibao za maana ikiwemo BRN.

Kijana acha hii kitu.
 
Attachments

  • 1427370902997.jpg
    1427370902997.jpg
    47.4 KB · Views: 336
Mke wa kaka yangu (jina kapuni) ananitaka nimtimizie haja zake kimapenzi. Maana anadai bro ameendekeza ulevi sana hata hana hamu nae.

Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki kutoka nje ya ukoo ili tusipoteze kizazi. Hata ikitokea broo amekufa mimi ndio nitamrithi shemeji kama mumewe.

Nakuahidi shemeji nitakupa mambo adimu na style kibao za maana ikiwemo BRN.

Kumbe unamtaka shemeji yako na inawezekana unamsaliti kaka yako...
 
Nyie madogo komamazenu ndo mnafanya huu ushenzi si tukienda job? Daah? nikioa haki ya nani hakuna dogo atakaa home. yaani ndo mnaleta za kuleta kujidai kuchokonoa Shemeji zenu halfu nyie wanawake mbona mmekuwa hivyo jamani?
 
Mke wa kaka yangu (jina kapuni) ananitaka nimtimizie haja zake kimapenzi. Maana anadai bro ameendekeza ulevi sana hata hana hamu nae.

Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki kutoka nje ya ukoo ili tusipoteze kizazi. Hata ikitokea broo amekufa mimi ndio nitamrithi shemeji kama mumewe.

Nakuahidi shemeji nitakupa mambo adimu na style kibao za maana ikiwemo BRN.

Kwakweli akili hii inakoelekea unaijua mwenyewe.
 
Viroba wakati wa jua kali bila kula ni hatari kwa afya ya akili. Unawaza kabisa eti kakako akifa we ndo utarithi mke. Subiri ajue huo mpango wenu afungue bucha hapo nyumbani.
 
Kwani ni lazima kila mmoja kuwa na post humu.Unaweza kuwa msomaji tu.Thread hii haina mantiki yeyote.
 
Back
Top Bottom