Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

"Kwahiyo ukiambiwa shemeji KULA hufanyi ajizi wala hutaniwi, subiri ajue kama haja kuchinjia baharini...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1427297570.811143.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1427297570.811143.jpg
    40.7 KB · Views: 625
Sio anakutaka, kwa maelezo yako nyote mnatakana. Kulana ila cha moto mtakiona na hizo brn zenu
 
Utoto kweli kazi.Hivi secondary wapo likizo au shule??
 
Ni vyema kabisa ndugu yangu..na kwa kuwa inaonyesha ukoo wenu ni watu wa kushirikiana na kushirikishana itakuwa jambo la busara ukimshirikisha huyo kakako. Najua atafurahi sana na atakushikia mguu, au sio?

Na kwa jinsi ukoo wenu ulivyo hivi mtoto wa dadako anakuita uncle au baba?
 
Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki kutoka nje ya ukoo ili tusipoteze kizazi.

Wewe unamtamani mke wa kaka yako?!Mie hata mke wa jirani tu siwezi kujiliwaza kutembea nae.Kwa hiyo unatumia mapungufu ya kaka yako kumsaliti na kumfanyia ushenzi??? Mi nadhani ungetafuta njia ya kumsaidia kaka yako.

Ama kweli waliosema UNDUGU SI KUFANANA BALI KUFAANA hawakukosea!
 
Mkuu naona hapo ulipo unatamani israel amchukuwe kaka yako!! Basi mpe shemeji brush kabla kaka yako hajaondoka; angalieni msije mwekea sumu kwenye kinywaji ili mumwonde mapema!!!
 
aiseeee babayangu nakushauri ukaye mbali na huyo ibisili pepo mnyama mla wa2 shemeji yako nyambafff
 
BRN
bong'oa rudi nyuma
hujui kaka yako kwanini kamchoka huyo mwanamkesasa ngoja akukabudhi maana HAZAI HUYO
 
Eeeeeh naona ndugu kaka anaelekea kumpumlia kisogoni mdogo wake kilaiinniii
 
Kwa maswali na majibu uliyo jiuliza ulikuwa huna haja ya kuleta pumba zako huku....
 
Iv kweli huoni kinyaa kutembea na mke wa kaka yako...!!!!iv inakuwaje nyie viumbe!!!!!mungu akupe yake nusura
 
Ukila mali ya kaka yako na undugu unakufa au atakulia wa kwako siku moja.
 
Back
Top Bottom