Mke wa kaka hataki kunifulia

Akufukuzae hakwambii toka. Hujui kwenye msosi anaokupikia huwa anaweka nini! Ondoka hapo nenda ukajitegemee. Au wewe Anza kufua nguo za familia yote.
 
Nilitaka nimpe tusi la mwaka lkn nimeghaili kwakuwa matusi aliyopata yamemtosha kbsa
 
Kwa hiyo mke wangu hapaswi kunifulia nguo?.Au mke wangu sipaswi kumfulia nguo?.Hebu tuache usomi na feminism pembeni,imani zetu zinasemaje?. Utamaduni wetu wa kiafrika pia unasemaje?.Mgawanyo wa majukumu upoje kwenye ndoa kiimani na tamaduni?.
Ndiyo nimeandika hivyo. Nini usichokielewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom