PACHO HERRERA
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 460
- 529
Fungua kisanduku tutete, hapa wanga wengi sana.
Khaa yaani muda ule nimeenda nimeoga nimepaka na poda tayari kwa mtoko nashangaa kimyaaa Mungu anakuona rafikiFungua kisanduku tutete, hapa wanga wengi sana.
hapo unapoishi ni kwa hisani tu,Jamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
MATATIZO YA KUSHIBA NA KUANZA KUSHIKA SIMU NDIO HAYA HASA UNAPOISHI KWA SHEMEJI, SI KOSA LAKO NI STAGE ZILE ULIZOKUWA UNARUKA WAKATI WA TEENAGE UNAANZA KUZILIPIA UKUBWANIJamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app