Mke wa kaka hataki kunifulia

Mke wa kaka hataki kunifulia

Kweli hiki kizazi kina watu mizigo !! Badala ya kufikiri utajiokoaji kutoka hapo ulipo ukaanzishe maisha wewe unafikiria kufuliwa !!
 
Zwazwa mkubwa ww tena mm ningekuwa kaka yako na apo kwangu ningekufukuza kabisa mbwa ww mke wa kaka yako akufulie ww kama nani kenge maji ww wakati utafute pesa utoke kwa watu unawanyima nafasi unaanza waongezea matatizo na inaweza kuwa umesema hadi kwa mama yako kumchomgea maneno yakiongo ili aanze kuchukiwa kwa wakwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla kaka yako hajaoa ulikua ukifuliwa nguo na nani hadi leo hii ulalamike? Kwahio kaka yako alimuoa huyo binti ili awe house girl wenu wa familia? huna huruma ww, hebu na ww msaidie shemeji yako kuosha vyombo.
 
Bora nijizuie tu kutukana. Utaolewa kukaa kwa kaka yako.

Bomba Mvua
 
Back
Top Bottom