Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Mmmh hivi wanaofuta comments za watu ni mods au mwenye Uzi wake? ......comment yangu ya kwanza imefutwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli ... jamaa ameamua kutunywesha chai tu hapa ...ili weekend isongeHa ha na hapa jf ungempa akuandikie,huyu anawazuzua akili tu ili mropoke ye atabasam
Basi wameifuta modsMwenye uzi hawezi kufuta comments .. isipo kuwa mwenye hiyo fursa ni commentator mwenyewe na mods
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa sheria za kiislamu sio lazima ni sunna asipofanya sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
bwege kweli wewe acha ujinga utaolewa mjini hapoJamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
dada naona unataka kuvuka mipaka sasa, kutuita sisi manyau wa kanda ya ziwa ni sawa na kumtukana kuingoz wa nchi hii na nchi ya Tz kwa ujumla, emb kuwa na adabu kwa watu usiowajua..
una vunga una mdomo sana, wacha wakukomeshe kwa kuzifuta!!Mmmh hivi wanaofuta comments za watu ni mods au mwenye Uzi wake? ......comment yangu ya kwanza imefutwa
Sent using Jamii Forums mobile app
kaoe na wewe ufuliwe zakoJamani Mke wa kaka yangu kagoma kabisa hataki kunifulia nguo zangu,
Nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app