Mke wa kaka hataki kunifulia

Shenzi kabisaaaa kaka yako kaoa mkee wa ukooo au kwa matumiz yake binafsiii!????!
Kama kaolea ukoo sawa na ww akikuomba mengine mpe maana n mke wa uko


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zee zima bado unakaa na kaka yako? Kama umeweza kuingia humu JF ina maana wewe siyo mtoto tena tafuta kwako na ukome kabisa kuandika upuuzi kama huu humu ndani unajaza sever bure. Pumbavu sana.
 
Unataka ufuliwe, ili muda ambao ulipaswa kufua, uutumie kichat ujinga kama ulioufanya hapa?
 
Hapaswi kumfulia hata kaka'ko aliyemuoa wacha wewe. Kwani kwenu huwa mnaoa ili mwanamke awe mtumwa wenu?
Kazana.
Hapa unakosea bibie...ndiyo hapaswi kumfulia shemejiye...lakini mumewe ni lazima amfulie...maana hata vitabu vitakatifu vimesema wanawake ni wasaidizi wetu.....
 
Back
Top Bottom